A5 ya mwaka gani na ipo locked kwenye mtandao gani? Au ulikuwa unaitumia saivi ndio imeanza mchezo huoNashukuru Mkuu, Galaxy A5
Mkuu sina uhakika kama utaweza kuiunlock maana inabidi uujue mtandao uliokuwa unatumika waiunlock na unachajiwa mwenyewe mimeshafanya ila pia ili uifanyie setup unahitaji sim card ya UK na si ya Tz mwenyewe nina same issueA5 ya 2016, Imetoka Uingereza
Mkuu sina uhakika kama utaweza kuiunlock maana inabidi uujue mtandao uliokuwa unatumika waiunlock na unachajiwa mwenyewe mimeshafanya ila pia ili uifanyie setup unahitaji sim card ya UK na si ya Tz mwenyewe nina same issue
Lazma ujue mtandao uliokuwa unaotumika kisha soma hapaA5 ya 2016, Imetoka Uingereza
Lazma ujue mtandao uliokuwa unaotumika kisha soma hapa
How to Unlock Samsung Galaxy A5 (2016) using Unlock Codes | UnlockUnit
Cmu iko na Network Lock, I can Unlock it for u km ukihitaji.. 0717458447Natanguliza shukurani kwa msaada katika shida hii
Nawezaje kupata Sim Network Unlock Pin kwa simu ya Samsung, nikiwasha inakuja na pop up scree isemayo SIM unlock Network PIN, niki dismiss, inakuja na meseji isemayo;
Invalid SIM Card
Network locked SIM card inserted
Nimefanya Hard reset mara kadhaa bila mafanikio
Mkuu nna issue kama hiyo simu yangu ni Samsung grand Prime. Endapo utapata ufumbuzi nijulishe mkuu wangu.Thanks, upo mji gani na kwa bei gani kwa faida ya wengine pia
Nafanya hyo remotely huna haja ya kuja nilipo. Unachohitaji wewe ni kuwa na Pc bac..Thanks, upo mji gani na kwa bei gani kwa faida ya wengine pia
Mkuu nna issue kama hiyo simu yangu ni Samsung grand Prime. Endapo utapata ufumbuzi nijulishe mkuu wangu.
simu yangu na mimi imepata ili tatizo ila ni kitoch itel mwenye ujuzi wa msaada wakuu naomba anisaidieKutokana na maelezo yako ni wazi kama simu yako ipo locked na imetumika( 2nd hand) au kama ni mpya useme.
Kama ni used na ilikuwa inatumiwa na ndugu yako mwambie apige simu kwenye Kampuni yake awapatie Imei number wataifungua bila gharama.
Ukitaka kuifungua wewe kwanza inabidi ujue ni ya kampuni gani ya simu VODAFONE, O2 ,EE, ORANGE au T - MOBILE. Kujua kampuni unahitaji imei number, sijajua samsung kama wanaandika kwenye cover la nyuma imei number kama iPhone kama hamna piga *#06# kujua IMEI number.
Ingiza IMEI number yako kwenye www.imei.info utajua status na kampuni yake(Carrier)
Sasa hiyo kampuni itakusaidia kwenye kufungua. Au weka Aina ya Simu, Imei na jina la carrier uombe wadau wakusaidie. Unaweza fanya online ila kuna gharama kidogo zitakutoka.