Msaada: Invalid Sim Card

Msaada: Invalid Sim Card

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Natanguliza shukurani kwa msaada katika shida hii

Nawezaje kupata Sim Network Unlock Pin kwa simu ya Samsung, nikiwasha inakuja na pop up scree isemayo SIM unlock Network PIN, niki dismiss, inakuja na meseji isemayo;
Invalid SIM Card
Network locked SIM card inserted

Nimefanya Hard reset mara kadhaa bila mafanikio
 
Zinauzwa online ila ungetaja na model yake usaidiwe
 
Kutokana na maelezo yako ni wazi kama simu yako ipo locked na imetumika( 2nd hand) au kama ni mpya useme.

Kama ni used na ilikuwa inatumiwa na ndugu yako mwambie apige simu kwenye Kampuni yake awapatie Imei number wataifungua bila gharama.

Ukitaka kuifungua wewe kwanza inabidi ujue ni ya kampuni gani ya simu VODAFONE, O2 ,EE, ORANGE au T - MOBILE. Kujua kampuni unahitaji imei number, sijajua samsung kama wanaandika kwenye cover la nyuma imei number kama iPhone kama hamna piga *#06# kujua IMEI number.

Ingiza IMEI number yako kwenye www.imei.info utajua status na kampuni yake(Carrier)

Sasa hiyo kampuni itakusaidia kwenye kufungua. Au weka Aina ya Simu, Imei na jina la carrier uombe wadau wakusaidie. Unaweza fanya online ila kuna gharama kidogo zitakutoka.
 
A5 ya 2016, Imetoka Uingereza
Mkuu sina uhakika kama utaweza kuiunlock maana inabidi uujue mtandao uliokuwa unatumika waiunlock na unachajiwa mwenyewe mimeshafanya ila pia ili uifanyie setup unahitaji sim card ya UK na si ya Tz mwenyewe nina same issue
 
Nashukuru sana Mkuu kwa nia yako kusaidia basi nitafanya utaratibu wa kutafuta hiyo sim cad
 
Natanguliza shukurani kwa msaada katika shida hii

Nawezaje kupata Sim Network Unlock Pin kwa simu ya Samsung, nikiwasha inakuja na pop up scree isemayo SIM unlock Network PIN, niki dismiss, inakuja na meseji isemayo;
Invalid SIM Card
Network locked SIM card inserted

Nimefanya Hard reset mara kadhaa bila mafanikio
Cmu iko na Network Lock, I can Unlock it for u km ukihitaji.. 0717458447
 
Thanks, upo mji gani na kwa bei gani kwa faida ya wengine pia
 
Nafanya hyo remotely huna haja ya kuja nilipo. Unachohitaji wewe ni kuwa na Pc bac..

Mode of payment
Cost ni kiasi gani
PC ya OS gani
 
Mkuu nna issue kama hiyo simu yangu ni Samsung grand Prime. Endapo utapata ufumbuzi nijulishe mkuu wangu.

Kuna huyu mganga hapa

2991JF-Expert Member
#15
Yesterday at 8:21 PM

Joined: Feb 3, 2017
Messages: 608

Likes Received: 573

Trophy Points: 180

Thanks, upo mji gani na kwa bei gani kwa faida ya wengine pia
Nafanya hyo remotely huna haja ya kuja nilipo. Unachohitaji wewe ni kuwa na Pc bac..
 
Kutokana na maelezo yako ni wazi kama simu yako ipo locked na imetumika( 2nd hand) au kama ni mpya useme.

Kama ni used na ilikuwa inatumiwa na ndugu yako mwambie apige simu kwenye Kampuni yake awapatie Imei number wataifungua bila gharama.

Ukitaka kuifungua wewe kwanza inabidi ujue ni ya kampuni gani ya simu VODAFONE, O2 ,EE, ORANGE au T - MOBILE. Kujua kampuni unahitaji imei number, sijajua samsung kama wanaandika kwenye cover la nyuma imei number kama iPhone kama hamna piga *#06# kujua IMEI number.

Ingiza IMEI number yako kwenye www.imei.info utajua status na kampuni yake(Carrier)

Sasa hiyo kampuni itakusaidia kwenye kufungua. Au weka Aina ya Simu, Imei na jina la carrier uombe wadau wakusaidie. Unaweza fanya online ila kuna gharama kidogo zitakutoka.
simu yangu na mimi imepata ili tatizo ila ni kitoch itel mwenye ujuzi wa msaada wakuu naomba anisaidie
 
Back
Top Bottom