Security inafanya simu isiibiwe? Au unadhani ni mtambo wa kupiga kelele simu inapotaka kuibwa? Security yake ni kuwa kama ulikuwa umeweka passcode na findmyIphone iko activated basi mwizi hawezi ku-access data zilimo kwenye simu na pia hataweza kuitumia kama ilivyo. Sana sana itabomolewa na kuuzwa kama spare parts.Hivi iphone zinaibiwa pamoja na security yao kali
Hivi iphone zinaibiwa pamoja na security yao kali
Mkuu mimi nimeibiwa jana. IMEI ninayo, unaweza saidia? Sultan MackJoe Khalifauna imei number ya iyo simu?
Bado kuna watu wanaiba simu za smartphone!Mkuu mimi nimeibiwa jana. IMEI ninayo, unaweza saidia? Sultan MackJoe Khalifa
Watu wananjaa asee na nyie wamiliki wa simu mpunguze madoidoBado kuna watu wanaiba simu za smartphone!
Manzese watu wanaiba ndala πBado kuna watu wanaiba simu za smartphone!
πππKwaiyo inamaana nyie mkinunuaga simu za milioni hamjuagi mambo ya security?
Ngoja wanakuja kukusaidia
Wameiba kitu gani kwenye hiyo simu?Msaada jamani.
Simu imeibiwa. Nifanyeje niipate?
Nimependa jibu lako π€π€ sijui kwann? π€πPole mwanangu