Msaada: iphone 11 promax imeibiwa

Msaada: iphone 11 promax imeibiwa

Hivi iphone zinaibiwa pamoja na security yao kali
Security inafanya simu isiibiwe? Au unadhani ni mtambo wa kupiga kelele simu inapotaka kuibwa? Security yake ni kuwa kama ulikuwa umeweka passcode na findmyIphone iko activated basi mwizi hawezi ku-access data zilimo kwenye simu na pia hataweza kuitumia kama ilivyo. Sana sana itabomolewa na kuuzwa kama spare parts.
 
ilitakiwa ureset kupitia icloud kisha acha watu wauziane uwashe moto.

mnakimbiliaga kuzifunga,watu wanazifungua spare mnazipoteza jumla.
 
Hivi iphone zinaibiwa pamoja na security yao kali

Simu ni kifaa tu, kama gari lina alarm na linaibiwa kwanini simu isiibiwe? Tofauti ni kwamba kama ali enable location pamoja na icloud imekuwa locked haitoweza kutumika, labda lakin pia simu yake itamuonyesha ilipo.
 
Back
Top Bottom