Msaada: iPhone 6 plus ina changamoto ya battery

Msaada: iPhone 6 plus ina changamoto ya battery

Anganjwiri92

Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
30
Reaction score
44
Habari JF,

Ninatumia simu tajwa hapo juu, shida ni kwamba ina ji-restart lakini bettery hearth maximum capacity 100% ukichaji fasta inajaa mapema na kuisha ni fasta.

Hapa shida ni nini?
 
Tangu enzi za Iphone 6 hadi leo bado unayo? Watoto waliozaliwa wakati zinatoka mara ya kwanza wapo Primary school. Kweli wewe mtunzaji. Au ni zile wanaita re-furbished?

Jipange ununue mpya mkuu, huenda simu imezeeka.
 
Bila shaka uyu ni mtumiaji wa itel
Tangu enzi za Iphone 6 hadi leo bado unayo? Watoto waliozaliwa wakati zinatoka mara ya kwanza wapo Primary school. Kweli wewe mtunzaji. Au ni zile wanaita re-furbished?
Jipange ununue mpya mkuu, huenda simu imezeeka.
 
Iyo battery imekufa mkuu, iko hivi kama ilishabadilishwa battery kabla huwa inasoma 100% BH hata kama battery imekufa
 
Habari JF

Ninatumia simu tajwa hapo juu, shida ni kwamba ina ji-restart lakini bettery hearth maximum capacity 100% ukichaji fasta inajaa mapema na kuisha ni fasta

Hapa shida ni nini?
[emoji28] aliyekufungia battery hajaikaza connection vizuri
 
Back
Top Bottom