Anganjwiri92
Member
- Sep 27, 2020
- 30
- 44
Nitabadili nikipata malipo ya kazi ya sensa😁Tangu enzi za Iphone 6 hadi leo bado unayo? Watoto waliozaliwa wakati zinatoka mara ya kwanza wapo Primary school. Kweli wewe mtunzaji. Au ni zile wanaita re-furbished?
Jipange ununue mpya mkuu, huenda simu imezeeka.
Tangu enzi za Iphone 6 hadi leo bado unayo? Watoto waliozaliwa wakati zinatoka mara ya kwanza wapo Primary school. Kweli wewe mtunzaji. Au ni zile wanaita re-furbished?
Jipange ununue mpya mkuu, huenda simu imezeeka.
Umeona eeh!!Bila shaka uyu ni mtumiaji wa itel
[emoji28] aliyekufungia battery hajaikaza connection vizuriHabari JF
Ninatumia simu tajwa hapo juu, shida ni kwamba ina ji-restart lakini bettery hearth maximum capacity 100% ukichaji fasta inajaa mapema na kuisha ni fasta
Hapa shida ni nini?
Inawezekana ni hivyo mkuu???[emoji28] aliyekufungia battery hajaikaza connection vizuri
Sijawahi badili bettery ni og lakini kioo nishawai badiliIyo battery imekufa mkuu, iko hivi kama ilishabadilishwa battery kabla huwa inasoma 100% BH hata kama battery imekufa