Msaada: Ipi ni tiba sahihi kwa tatizo la uume kulegea?

Msaada: Ipi ni tiba sahihi kwa tatizo la uume kulegea?

Dawa za kitaalamu zipo.
1719301498963.jpg
1719301479421.jpg
1719301458216.jpg

Kwa maelezo zaidi juu ya dawa hizi njoo PM.
 
Mkuu wacha kula malapulapu,,tafuta chuma cha maana uwe unakula pazuri,,

Hata mimi mwanzoni nilidhani nina matatizo ya nguvu za kiume,
lakini tangu nilipoacha kula wanawake malapu lapu nikajiona sikuwahi kuwa mgonjwa wa tatizo hilo.

Wanaume wengi wandhani kila mwanamke ni kwa ajili yao..

Kuna wanawake wengine wanakuwa warembo wakiwa na nguo,
Ila ukishamvua nguo anapoteza ladha na shauku ya kufanya nae tendo.,
Inabidi unafanya kwa kulazimisha tendo lakini sio kwa hisia ya kufanya tendo.
Ndy hapo wanaume wengi tunapofail..

Binafsi kuna aina ya mwanamke nikiwa nae nacheza mchezo chini ya kiwango..
Nacheza kama mchezaji ambaye kapewa BAHASHA timu yake ifungwe..

Ila kuna type fulani ya mwanamke nikipata ,,aisee kama sio chama cha haki za binadamu na jinsia kuingilia kati ,,,naweza nikaua binti wa mtu ulingoni...
 
Back
Top Bottom