Msaada: Ipi ni tiba sahihi kwa tatizo la uume kulegea?

Msaada: Ipi ni tiba sahihi kwa tatizo la uume kulegea?

Wanaokuita pm ni wafanya biashara tu hao , nashauri usitumie madawa mengi sana kutibu tatizo lako hakikisha unapata shuhuda kadhaa kabla hujaanza kutumia dawa , kuepuka kupoteza muda na hela
 
Wanaokuita pm ni wafanya biashara tu hao , nashauri usitumie madawa mengi sana kutibu tatizo lako hakikisha unapata shuhuda kadhaa kabla hujaanza kutumia dawa , kuepuka kupoteza muda na hela
Ndo mana mtu anaweka mada hadharan ili asaidiwe Sasa wengine wanataka (private message) why

Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
 
Ipi ni tiba sahihi kutibu tatizo la uume kelegea mbali na hizi dawa za asili zinazotrend sana mtandaoni?

Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
Tiba ya uume kuwa imara ni mambo kadhaa:

1) Fanya mazoezi ambayo yatapelekea mzunguko wa damu kuwa wa kasi. Mazoezi kama kukimbia umbali mrefu, mazoezi ya kuruka kamba walau kwa takribani nusu saa hadi saa 1, Karate, Kucheza mpira n.k.

2) Jifunze kula vyakula halisi: Itambulike kwamba mazoezi huongeza hamu ya kula chakula chenye kuipa mwili nguvu. Hivyo, zingatia kula vyakula asili kama ni ugali kula ugali na mwanaume usile ugali umeregea au laini ugali mgumu ni muhimu sana. Na mara moja moja kula ugali wa mtama kwa samaki hapo utabamba😂😂😂.

3) Hakikisha uwe unakunywa maji ya kutosha walau lita 2-3 za maji kwa siku. Hii ni kwa sababu utakua unapoteza maji kupitia mazoezi unayofanya kwa njia ya jasho. Na hili ukiwa unafanya mazoezi utapenda kunywa maji mara kwa mara.😂😂

4) Jiepushe kuwa na msongo wa mawazo. Kama mwanaume inabidi utambue unajukumu la kukabiliana na kila tatizo hata likukute umelala inatakiwa upambane tu😂😂. Hivyo, ruhusu akili yako kuwa active wakati wote ili kukuruhusu kufanya hitaji lako la mwili.

5) Mwanaume epuke kunywa kunywa vinjwaji kama soda, pombe, uvutaji wa sigara, jamii ya juisi za mitaani usiyojua inatengenezwa vipi na jamii ya energy drinks. Kama kunywa kwa mwanaume, jitahidi walau kwa siku upate nusu glass ya wine. Wine huunguza mafuta mwilini.

6) Kua na mwanamke mwenye kujielewa, kuanzia usafi wa mwili, kinywa, mwenye kujua hali yako ya uchumi. Zingatia kua na mwanamke mmoja mwenye hizo sifa sio kua na kundi kubwa la wanawake hapo unajichimbia shimo.

7) Mwanaume jiepushe kwenda gym 😂😂😂 hapa wale wanaoenda gym watajua namaanisha nini.... Sitafafanua.


Fuata hayo utanishukuru baadae.
 
Punyeto ni mazoezi ya kupasha viungo... Warm up kabla ya game
Aweee?🫣🫣🫣
1720815728177.jpg
 
Tiba ni chakula tu.badili mfumo wako wa ulaji.achana na haya ya mafuta mengi.kunywa supu ya kuku asubuh kaa kidogo kula matunda ya kutosha, mchana kula ugali mdogo na mboga za majani nyingi na mtindi na usiku unakula chakula Cha wastani ikiwezekana na mtindi tena.usisahau na maji ya kutosha Kila siku angalau hata Lita mbili na mazoezi ya kutembea ni mazuri sana.pia kumbuka na kutafuna mara Moja Moja karanga,mbegu za maboga,kunywa madafu na miwa.ukiwa na mfumo huu wa ulaji hautasikia uume umesinyaa.Achana na midawa hii ya hospitali utapoteza pesa tu.Kifanye chakula kuwa dawa na siyo dawa kuwa chakula Cha mwili
 
Anza kwa kutumia viagra ili u-boost confidence kwanza!
 
Ipi ni tiba sahihi kutibu tatizo la uume kelegea mbali na hizi dawa za asili zinazotrend sana mtandaoni?

Sent from my 23028RNCAG using JamiiForums mobile app
Puchu ni kwa wavulana ni moja ya stage ya ukuaji real men hapigi puchu ukiona bado unapiga puchu katika 30s bado haujakuwa kiakili na mpiga puchu hakuna namna anaweza kumridhisha mwanamke
Ukijua madhara yake utaichukia na kuacha
 
Back
Top Bottom