Msaada...IST v/s RUNX

Msaada...IST v/s RUNX

Talis Semwa

Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
32
Reaction score
18
Mm ni mgeni kidogo wa magari, napenda kununua gari ndogo ya kutembelea hapa town japo nazizimika sana hatchback na hasa zinazotumia mafuta kidogo( uchumi)
Wanajamvi ipi kt ya hizo yenye shape nzuri, inayodumu na hasa isiyo na changamoto za kwenda gereji kila siku..NAWASILISHA WANA JF
 
Amnaga.gari,lapekeyako,chukua,vitz.economic,wese,kama unataka.kuuza.,sura,Ayala
 
Jamani hapo juu wanajamvi wote nawashukuruni sana...naendelea kupokea mawazo/ ushauri na maoni mbalimbali...vipi kuhusu bei zake nahisi km zinaendana
 
Kwa upande wa IST utakuwa na machaguo matatu...kwanza IST ni modified version ya Vitz....Katika hiyo version kuna matoleo ya old na new....old yameanzia 2002 had somewhere 2006 then ikaja new model kuanzia 2007. Sasa ni wew kuamua uchukue old model yenye CC 1300 au yenye CC 1500...au uchukue new model yenye cc 1500 lakini yenye bei ghali kidogo..

Runx yenyewe ni fupi kuliko IST yani umbo lake ni kama Sedan hivi na cc zake zinaanzia 1500.
 
Blaza kiukweli umenipa mchanganuo mzur sana ila hiyo new model naona ghali sana hasa kwa maisha yetu ya ku ungaunga...naona hiyo Old model ni bora ...Dereva Suka vipi ubora wa bodi blaza
 
mkuj chukua raum new model inatumia mafuta sawa na hizo unazotaka ila ina nafasi zaid ndan na kwenye buti...lakini comfortability yake ndani ni zaidi ya ist na runx/allex
 
mkuj chukua raum new model inatumia mafuta sawa na hizo unazotaka ila ina nafasi zaid ndan na kwenye buti...lakini comfortability yake ndani ni zaidi ya ist na runx/allex
Nakupata sana mkuu...naielewa sana hiyo gari but kitu kimoja tu...milango ya ku slide sipendezwiii sana ila kwa sifa ulizotaja gari iko vzr sana bro
 
siyo lazima islide unaweza ibadili tu simply..mimi natumia hiyo na milango haisumbui
Nakupata sana mkuu...naielewa sana hiyo gari but kitu kimoja tu...milango ya ku slide sipendezwiii sana ila kwa sifa ulizotaja gari iko vzr sana bro
 
Blaza kiukweli umenipa mchanganuo mzur sana ila hiyo new model naona ghali sana hasa kwa maisha yetu ya ku ungaunga...naona hiyo Old model ni bora ...Dereva Suka vipi ubora wa bodi blaza
Zote body zake nzuri....siwezi kufananisha na body ya Spacio new model inachoka vibaya....though katika yote hayo ni utunzaji tu.
 
hello, habari naomba nikushauri chaguo lingine tofauti na hayo

kama unatumia gari mwenyewe nakushauri tafuta HONDA FIT- actually it real fit. inatumia mafuta kidogo zaidi ya IST na vits kwani zile za kuanzia 2007 zina 1200cc-990. Bei yake ukiagiza ni around 8.5mil-9.5mil. Ndani inaspace kubwa kuliko hizo mbili na pia ndani imekaa very confortable zaidi ya IST na RUNX. Kuhusu spare asikudanganye mtu zipo nyingi sana hapa mjini na bei zake hazitofautiani sana na za IST, lakini za honda ni Genuine. na ukinunua spare utasahau.

watu wanadai tatizo la hizi gari ni Gearbox lakini nakwambia sio kweli, gari ni matumizi yako. Mimi nina ki- HONDA FIT changu nilinunua 2014 mpaka sasa nimebadilisha miguu ya mbele tuuu (wataalamu wanajua ninini) lakini matengenezo mengine ni service labda na plug.

upload_2017-2-23_18-49-9.png

ndani ni nzuri sanaaa
upload_2017-2-23_18-47-23.png
 
Attachments

  • upload_2017-2-23_18-45-29.png
    upload_2017-2-23_18-45-29.png
    73.4 KB · Views: 146
Back
Top Bottom