Talis Semwa
Member
- Jan 8, 2017
- 32
- 18
- Thread starter
- #21
Yes kaka...nashukuru kwa ushauri murua na usio na shakaZote body zake nzuri....siwezi kufananisha na body ya Spacio new model inachoka vibaya....though katika yote hayo ni utunzaji tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kaka...nashukuru kwa ushauri murua na usio na shakaZote body zake nzuri....siwezi kufananisha na body ya Spacio new model inachoka vibaya....though katika yote hayo ni utunzaji tu.
Binafsi imenivutia hii, inafaa kwa matumizi ya nyumbanihello, habari naomba nikushauri chaguo lingine tofauti na hayo
kama unatumia gari mwenyewe nakushauri tafuta HONDA FIT- actually it real fit. inatumia mafuta kidogo zaidi ya IST na vits kwani zile za kuanzia 2007 zina 1200cc-990. Bei yake ukiagiza ni around 8.5mil-9.5mil. Ndani inaspace kubwa kuliko hizo mbili na pia ndani imekaa very confortable zaidi ya IST na RUNX. Kuhusu spare asikudanganye mtu zipo nyingi sana hapa mjini na bei zake hazitofautiani sana na za IST, lakini za honda ni Genuine. na ukinunua spare utasahau.
watu wanadai tatizo la hizi gari ni Gearbox lakini nakwambia sio kweli, gari ni matumizi yako. Mimi nina ki- HONDA FIT changu nilinunua 2014 mpaka sasa nimebadilisha miguu ya mbele tuuu (wataalamu wanajua ninini) lakini matengenezo mengine ni service labda na plug.
View attachment 473814
ndani ni nzuri sanaaa
View attachment 473813
Broo nimefanikiwa kukuelewa sana kwa sababu umenipa kitu kipya ambacho kichwani hakikuwepo kabisa....thanks alot NAJUA SANA TZ tumezoea toyota but hiz gar nyingine hazina vya spea fekihello, habari naomba nikushauri chaguo lingine tofauti na hayo
kama unatumia gari mwenyewe nakushauri tafuta HONDA FIT- actually it real fit. inatumia mafuta kidogo zaidi ya IST na vits kwani zile za kuanzia 2007 zina 1200cc-990. Bei yake ukiagiza ni around 8.5mil-9.5mil. Ndani inaspace kubwa kuliko hizo mbili na pia ndani imekaa very confortable zaidi ya IST na RUNX. Kuhusu spare asikudanganye mtu zipo nyingi sana hapa mjini na bei zake hazitofautiani sana na za IST, lakini za honda ni Genuine. na ukinunua spare utasahau.
watu wanadai tatizo la hizi gari ni Gearbox lakini nakwambia sio kweli, gari ni matumizi yako. Mimi nina ki- HONDA FIT changu nilinunua 2014 mpaka sasa nimebadilisha miguu ya mbele tuuu (wataalamu wanajua ninini) lakini matengenezo mengine ni service labda na plug.
View attachment 473814
ndani ni nzuri sanaaa
View attachment 473813
Toa sababuIst ni nzuri zaidi kuliko runx tena upate ist za kuanzia 2002- hadi 2004 ni nzuri sana
Mmmh usawa hauruhusu...uchumi unasumbua ila tuta drive tu hzo ndingaChukua Range rover au V8 ni salama zaidi achana na hayo mengine
Mmmh usawa hauruhusu...uchumi unasumbua ila tuta drive tu hzo ndinga
Boss unaniseti boss...Landover inaweza faa kwa mishe za hapa townChukua land rover mandolina ama Toyota Staut Dume!
Haya magari wachaga wanayauza kwa bei nafuu maana huko kwao yapo mengi huwa wanapokea kama mahari.
Lakini pia ni mavumilivu sana.
Wachana na vi- baby walker !
hello, habari naomba nikushauri chaguo lingine tofauti na hayo