Talis Semwa
Member
- Jan 8, 2017
- 32
- 18
Asante jamaa yangu...hata km kila kona zimejaa ila sio issueChukua Runx ingawa ina cc kubwa kidogo kuliko IST
Sawa ila naisi bodi yake sio ngumu sana japo sifahamu kiundan zaidiAmnaga.gari,lapekeyako,chukua,vitz.economic,wese,kama unataka.kuuza.,sura,Ayala
Nasikia bodi lake kodogo ni gumu sasa sijajuaIst ni nzuri zaidi kuliko runx tena upate ist za kuanzia 2002- hadi 2004 ni nzuri sana
Sio kesi mbona imezid kidogo km sijakosea Runx nyingine ni 1496cc...vipi kuhusu bodi ugumu OsabaChukua Runx ingawa ina cc kubwa kidogo kuliko IST
Vipi habari ya maballjoint cv joint na vitu km hvyo? Coz vitu vingine najua ni vilevilemi nashauri Runx coz sio sare sare kivile
Blaza kiukweli umenipa mchanganuo mzur sana ila hiyo new model naona ghali sana hasa kwa maisha yetu ya ku ungaunga...naona hiyo Old model ni bora ...Dereva Suka vipi ubora wa bodi blazaKwa upande wa IST utakuwa na machaguo matatu...kwanza IST ni modified version ya Vitz....Katika hiyo version kuna matoleo ya old na new....old yameanzia 2002 had somewhere 2006 then ikaja new model kuanzia 2007. Sasa ni wew kuamua uchukue old model yenye CC 1300 au yenye CC 1500...au uchukue new model yenye cc 1500 lakini yenye bei ghali kidogo..
Runx yenyewe ni fupi kuliko IST yani umbo lake ni kama Sedan hivi na cc zake zinaanzia 1500.
Nakupata sana mkuu...naielewa sana hiyo gari but kitu kimoja tu...milango ya ku slide sipendezwiii sana ila kwa sifa ulizotaja gari iko vzr sana bromkuj chukua raum new model inatumia mafuta sawa na hizo unazotaka ila ina nafasi zaid ndan na kwenye buti...lakini comfortability yake ndani ni zaidi ya ist na runx/allex
Nakupata sana mkuu...naielewa sana hiyo gari but kitu kimoja tu...milango ya ku slide sipendezwiii sana ila kwa sifa ulizotaja gari iko vzr sana bro
Ok nashukuru...so inafanyika modification ya milango? Inakua ya kufungua kawaida? We uko wapi aisehsiyo lazima islide unaweza ibadili tu simply..mimi natumia hiyo na milango haisumbui
Zote body zake nzuri....siwezi kufananisha na body ya Spacio new model inachoka vibaya....though katika yote hayo ni utunzaji tu.Blaza kiukweli umenipa mchanganuo mzur sana ila hiyo new model naona ghali sana hasa kwa maisha yetu ya ku ungaunga...naona hiyo Old model ni bora ...Dereva Suka vipi ubora wa bodi blaza