Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 316
- 100
Asante,ni Isuzu zote zna shida?Isuzu yoyote usiguse labda uwe na duka huko Kenya la kukupa spea.
Nina pickup imeshakula cylinder head 4
Acha kupotosha watu!kwa gari hiyo moja ndio umehitttimisha Isuzu zote?Isuzu yoyote usiguse labda uwe na duka huko Kenya la kukupa spea.
Nina pickup imeshakula cylinder head 4
hiyo gari ni ya kichawi kama jina lake, kimsingi itakusumbuaNi wizard kweli kwenye hela
Utajuta kununua wizard
Asante,ni Isuzu zote zna shida?
isuzu suv nyingi za diesel ni majanga. me nna bighorn imekufa engine bukoba, imekula zaidi ya 2.4m hadi sasa.Isuzu yoyote usiguse labda uwe na duka huko Kenya la kukupa spea.
Nina pickup imeshakula cylinder head 4
Wizard ya Petrol haina shida. Kimbembe ni ile ya Diesel. Ina Umeme mwingi sana na inasumbua injini.
Mkuu na za petrol nazo pia ni majanga.isuzu suv nyingi za diesel ni majanga. me nna bighorn imekufa engine bukoba, imekula zaidi ya 2.4m hadi sasa.
cylinder head, gasket na overall kit vimehusika.
hii ni mara ya tatu inazingua wakati nikiwa na ratiba ngumu ya kazi inayohusisha kusafiri sana. nilitaka kuiuza highest bidder alikuja na 5m.
Kwa nn mkuu,hebu nipe experience kidogo Mkuu.Achanayo hiyo gari
Asiyesikia la mkuu....................Kwa nn mkuu,hebu nipe experience kidogo Mkuu.
Kwa hali hii inabidi nbadili mawazo.
Nione nikusaidie,najua ingini inayolalamikiwa ni 4jx1 tatizo ya ingini hii, hapa kwetu hamna mafundi,hiyo ni injini ya dieseli euro III, ni hi tech diesel engine, imetengenezwa na CAT, Mimi pia ninayo ISUZU bighorn naitumia vizuri tu, mafundi wetu kuna vitu huwa wanavi disable kwenye hiyo ingine,inapelekea kuover heat hapo ndio chanzo cha matatizo, nione 0713 535470 nitakusaidia.isuzu suv nyingi za diesel ni majanga. me nna bighorn imekufa engine bukoba, imekula zaidi ya 2.4m hadi sasa.
cylinder head, gasket na overall kit vimehusika.
hii ni mara ya tatu inazingua wakati nikiwa na ratiba ngumu ya kazi inayohusisha kusafiri sana. nilitaka kuiuza highest bidder alikuja na 5m.
okay boss, ngoja irudi nitakuletea.Nione nikusaidie,najua ingini inayolalamikiwa ni 4jx1 tatizo ya ingini hii, hapa kwetu hamna mafundi,hiyo ni injini ya dieseli euro III, ni hi tech diesel engine, imetengenezwa na CAT, Mimi pia ninayo ISUZU bighorn naitumia vizuri tu, mafundi wetu kuna vitu huwa wanavi disable kwenye hiyo ingine,inapelekea kuover heat hapo ndio chanzo cha matatizo, nione 0713 535470 nitakusaidia.
Kama hutaki ambayo haisumbui nunua yenye diesel engine 4jg2 turbo yenye manual injector pump.Habari jf members,
Naomba msaada kuhusu Isuzu Wizard kwa wale ambao washawahi kutumia hizi gari.Ni ya petrol.
Ubora na matatizo yake.
okay boss, ngoja irudi nitakuletea.
thanks
Kama hutaki ambayo haisumbui nunua yenye diesel engine 4jg2 turbo yenye manual injector pump.