Msaada Isuzu Wizard

Msaada Isuzu Wizard

Mwananjengo

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
316
Reaction score
100
Habari jf members,
Naomba msaada kuhusu Isuzu Wizard kwa wale ambao washawahi kutumia hizi gari.Ni ya petrol.
Ubora na matatizo yake.
 
Isuzu yoyote usiguse labda uwe na duka huko Kenya la kukupa spea.
Nina pickup imeshakula cylinder head 4
 
Wizard ya Petrol haina shida. Kimbembe ni ile ya Diesel. Ina Umeme mwingi sana na inasumbua injini.
 
Ni wizard kweli kwenye hela

Utajuta kununua wizard
 
Asante,ni Isuzu zote zna shida?
Isuzu yoyote usiguse labda uwe na duka huko Kenya la kukupa spea.
Nina pickup imeshakula cylinder head 4
isuzu suv nyingi za diesel ni majanga. me nna bighorn imekufa engine bukoba, imekula zaidi ya 2.4m hadi sasa.
cylinder head, gasket na overall kit vimehusika.
hii ni mara ya tatu inazingua wakati nikiwa na ratiba ngumu ya kazi inayohusisha kusafiri sana. nilitaka kuiuza highest bidder alikuja na 5m.
 
Kwa nchi zetu hizi ambazo bado tuko zama za ujima hii gari haikufai mkuu, maana hazikutengenezwa kwa ajili ya nchi za kijima kama hizi, gari za nchi ambazo bado ziko kwenye ujima ni toyota. Hushangai mtu anakuambia isuzu injini zao ni mbovu wakati ni largest engine producer na wamespecilize kwenye injini na wanawauzia makampuni mengine yanayotengeneza magari kama renult
 
isuzu suv nyingi za diesel ni majanga. me nna bighorn imekufa engine bukoba, imekula zaidi ya 2.4m hadi sasa.
cylinder head, gasket na overall kit vimehusika.
hii ni mara ya tatu inazingua wakati nikiwa na ratiba ngumu ya kazi inayohusisha kusafiri sana. nilitaka kuiuza highest bidder alikuja na 5m.
Mkuu na za petrol nazo pia ni majanga.
 
isuzu suv nyingi za diesel ni majanga. me nna bighorn imekufa engine bukoba, imekula zaidi ya 2.4m hadi sasa.
cylinder head, gasket na overall kit vimehusika.
hii ni mara ya tatu inazingua wakati nikiwa na ratiba ngumu ya kazi inayohusisha kusafiri sana. nilitaka kuiuza highest bidder alikuja na 5m.
Nione nikusaidie,najua ingini inayolalamikiwa ni 4jx1 tatizo ya ingini hii, hapa kwetu hamna mafundi,hiyo ni injini ya dieseli euro III, ni hi tech diesel engine, imetengenezwa na CAT, Mimi pia ninayo ISUZU bighorn naitumia vizuri tu, mafundi wetu kuna vitu huwa wanavi disable kwenye hiyo ingine,inapelekea kuover heat hapo ndio chanzo cha matatizo, nione 0713 535470 nitakusaidia.
 
okay boss, ngoja irudi nitakuletea.
thanks
 
Habari jf members,
Naomba msaada kuhusu Isuzu Wizard kwa wale ambao washawahi kutumia hizi gari.Ni ya petrol.
Ubora na matatizo yake.
Kama hutaki ambayo haisumbui nunua yenye diesel engine 4jg2 turbo yenye manual injector pump.
 
okay boss, ngoja irudi nitakuletea.
thanks
1472808946310.jpg

Kama hutaki ambayo haisumbui nunua yenye diesel engine 4jg2 turbo yenye manual injector pump.
 
Ni gari nzuri sana na injini yake ina nguvu sana ila ni ndoa ya kikristo
 
Back
Top Bottom