Msaada IT

STALLEY

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
623
Reaction score
219
Wakuu napendelea kusoma IT sasa kunachuo kipo malaysia nimekifuatilia na wanatoa degree ya IT with specialism in information system security.sasa swali langu ni hili nikienda kuchukua hii kozi huko malysia hii specialism in security itakuwa na advantage yeyote katika soko la ajira nitakapo rudi au ni bora nisome hapahapa bongo.naomba kuwasilisha
 
Sincerely ukisoma IT uwe tayari kujiajiri.kutokanana tech inavyokuwa daily yani uatakiwa uwe kipaanga kweli wa It ili ukabili ushindani vinginevyo.nakwambia hili from expirience marafiki zangu wote wamishia kuwa walimu sisemi sio kazi ila jiandae kwa ushindani popote utakosomea
 
thanx nimekusoma mkuu
 

Weka swali lako kwenye TECH,GADGETS & SCIENCE FORUM wataalamu wa IT wengi wapo hapo watakupa ushahuri mzuri JAPO HATA HAPA UMEUPATA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…