STALLEY
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 623
- 219
Wakuu napendelea kusoma IT sasa kunachuo kipo malaysia nimekifuatilia na wanatoa degree ya IT with specialism in information system security.sasa swali langu ni hili nikienda kuchukua hii kozi huko malysia hii specialism in security itakuwa na advantage yeyote katika soko la ajira nitakapo rudi au ni bora nisome hapahapa bongo.naomba kuwasilisha