MSAADA:Jamaa hajasimama siku ya Nne leo

MSAADA:Jamaa hajasimama siku ya Nne leo

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Habari zenu ndugu zangu.
Mi nikijana wa miaka 25, kwa kawaid kila niamkapo asubuhi penis yangu huwa inasimama, lakini pia pale ninapopata hisia either nikiwa njiani ama sehemu yeyote.Kiukweli mimi nina mchumba lakini yupo arusha na nilikutana kimwili naye mwaka jana toka hapo sijakutana na mwanamke yeyote, japo siku kama tano zilizopita nikiwa kitandani kwangu nlipata hisia kali nikaamua kumasterbet baada ya hapo penis yangu haijasimama tena, hata nikijaribu kutafuta hisia bado inakuwa ngumu, jana nimejaribu kuvuta hisia za mchumba wangu waapiii.Nimekosa amani,nimepungua uzito toka 59.7-57.4.Naomba msaada wa ushauri nifanyeje niweze.Hali yangu imekuwa mbaya kwani nakosa piece of. mind kila nikiwaza hilo.plz and plz naomba msaadaa wenu ndufu
 
una mawenge tu, bado upo shwari. sema wasiwasi wako ndo unakutisha. najua kinachokutisha ni hizi maada unazosoma humu kuhusu kupiga puli usiogope ni uzushi tu wa watu hazina uhakika. ukitaka kuhakikisha
download muvi ya ngono uangalie uone kama hutasimamisha
 
haa umepungua uzito toka 59.7-57.4? hiyo ni njia nzur sana ya kupunguza uzito mkuu.....uzito mkubwa ni hatar kwa afya yako chief endelea hivyo hivyo mwana.
 
mwaka mzima hujachenga kazi kweli kweli kanunue hata changu upoze machungu
 
kua muwazi.iyo masterbesheni nimara yako ya kwanzakuifanya?sidhani...nway chakufanya pata kitimoto nusu nzima rost na ugali baadae jioni..piga na kama bia mbili ivi kama watumia then nenda hom kalale mapema.....hisia zikizid kua mbali jaribu kuwatch porn movie...kama bado kesho urud hapa nikupe dawa ingine..kumbuka hapa tunatibu saikolojia yako kabla hujarudi kivingine ukidai nguvu za kiume zimepungua.....
 
samahani sasa unataka isimame iliifanye nini sasa,,!!! madhara ya masterbation hayo me najua utakuwa unasugua uweki mafuta au sabuni ya kutosha jamaa kagoma umemuumizi
 
Bwana mdogo chonde chonde usizoee kujichua utakuja kujuta sna katika utu uzima wako kwani utalegeza misuli ya uume na matokeo yake utakuw unapata half erection!
 
haa umepungua uzito toka 59.7-57.4? hiyo ni njia nzur sana ya kupunguza uzito mkuu.....uzito mkubwa ni hatar kwa afya yako chief endelea hivyo hivyo mwana.

hivi na me nikifanya ivyo nitapungua uzito nianze?
 
haa umepungua uzito toka 59.7-57.4? hiyo ni njia nzur sana ya kupunguza uzito mkuu.....uzito mkubwa ni hatar kwa afya yako chief endelea hivyo hivyo mwana.

huyu jamaa atakuwa mwembamba sana kwa huu uzito sipati picha maana ni kg chache sana.
 
samahani sasa unataka isimame iliifanye nini sasa,,!!! madhara ya masterbation hayo me najua utakuwa unasugua uweki mafuta au sabuni ya kutosha jamaa kagoma umemuumizi
inamaana ukisugua bila kuweka sabuni ya kutosha au mafuta ndo jamaa hata goma?
 
samahani sasa unataka isimame iliifanye nini sasa,,!!! madhara ya masterbation hayo me najua utakuwa unasugua uweki mafuta au sabuni ya kutosha jamaa kagoma umemuumizi

miss mchaga nimezoea kila siku niamkapo penis yangu lazima iwe imesimama lakini ndo siku ya nne sasa naona nina mabadiliko sana sana kiasi kwamba mpaka najiogopa.
 
Last edited by a moderator:
Bwana mdogo chonde chonde usizoee kujichua utakuja kujuta sna katika utu uzima wako kwani utalegeza misuli ya uume na matokeo yake utakuw unapata half erection!

SHIMBONONI aahsante kwa ushauri inabidi nijitahidi kujizuia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom