Msaada jamaa yangu amehakiwa Whatsapp

Msaada jamaa yangu amehakiwa Whatsapp

TRACE

Senior Member
Joined
Jul 4, 2008
Posts
120
Reaction score
46
Samahani kama kichwa cha habari hakijatulia.Naomba mwongozo wa nini kifanyike au nimshauri rafiki yangu whatspp namba yake ime be hacked na aliyemhak sasa ana access magroup yote ambayo jamaa yupo na anamtoa na kuleta usumbufu
 
Walicho fanyia ni kuwa hacker inavyoonekana alfa jirejister kwenye device nyingine six digits codes ikaenda kwa simu halali ya mshkaji kisha haka akamwomba mshkaji amrushie zile code kwasababu mshkaji hakuelewa nia au tuseme sii mtaalamu kidogo wa maswala ya tech akatumtumia na hapo ndipo alipokamatwa
 
Mwambie afanye Uninstall hiyo WhatsApp kisha ai install upya,itamuijia verification code mpya kisha ataiweka,na hiyo WhatsApp iliyo hakiwa ndio itakua mwisho wake,

Wataalamu wataongezea zaidi.
 
Hiki ulichosema ni dawa pia.

Ila whatsapp inaweza fanya kazi kwa namba moja tu yaani namba moja akaunti moja.

Kwa njia iliyoelezwa na mleta uzi ya kupata codes inaashiria jamaa ana namba mbili na ndiyo maana whatsapp ilikua installed kwingine na yeye akaombwa code.

Ambacho sielewi ni kivipi tena na yeye awe na akaunti kwa namba hiyo hiyo? Kwa maelezo yake kwamba hadi anatolewa kwenye magrupu hii njia ya code isingewezekana kwakua yeye anakua hana access na hiyo akaunti ya whatsapp mwenye access anakua uliyempa code.

Ili aweze kumtoa kwenye grups na kuchat na watu na kuona chats za jamaa ni lazima iwe whatsapp web. Ambayo hii haihitaji codes.

Unless kama jamaa aliomba codes kumzuga ila in reality amempigia denge kupitia whatsapp web au mimi nimeachwa na tech.
 
Sasa hivi Baadhi ya watu ambao wapo kwenye Beta unaweza tumia whatsapp kwenye Vifaa 4, na whatsapp ya simu kama haifanyi kazi hivyo vifaa vyengine vitakuwa disconnected baada ya siku 14.

Imagine jamaa kapokonywa Ownership na yeye kafanywa tu Kawa side device, hapo hata atoe na kuweka upya whatsapp haitamsaidia.

Aende setting Kisha linked devices then a angalie kama kuna menu ya multi device, kama ipo ajitoe, kama pia Kuna option nyengine kama whatsapp web aitoe.
 
Yaani whatsapp akaunti moja inakua kwenye devices nyingi?
 
Hiki ulichosema ni dawa pia.

Ila whatsapp inaweza fanya kazi kwa namba moja tu yaani namba moja akaunti moja.

Kwa njia iliyoelezwa na mleta uzi ya kupata codes inaashiria jamaa ana namba mbili na ndiyo maana whatsapp ilikua installed kwingine na yeye akaombwa code.

Ambacho sielewi ni kivipi tena na yeye awe na akaunti kwa namba hiyo hiyo? Kwa maelezo yake kwamba hadi anatolewa kwenye magrupu hii njia ya code isingewezekana kwakua yeye anakua hana access na hiyo akaunti ya whatsapp mwenye access anakua uliyempa code.

Ili aweze kumtoa kwenye grups na kuchat na watu na kuona chats za jamaa ni lazima iwe whatsapp web. Ambayo hii haihitaji codes.

Unless kama jamaa aliomba codes kumzuga ila in reality amempigia denge kupitia whatsapp web au mimi nimeachwa na tech.
Hapo whatsap web tu,hakuna kingine
 
Yaani whatsapp akaunti moja inakua kwenye devices nyingi?
YAP ipo kwenye Beta sasa hivi soon ina rollout kwa watu wengi.

Kama Installation yake inahusisha kupata codes basi jamaa acheki na option hii.
 
YAP ipo kwenye Beta sasa hivi soon ina rollout kwa watu wengi.

@Chief-Mkwawa
Mm ndio naitumia sababu Niko beta program kuanzia simu yenyewe mpaka application za android
Hii hapa
Screenshot_20210725-163001.jpg
 
Walicho fanyia ni kuwa hacker inavyoonekana alfa jirejister kwenye device nyingine six digits codes ikaenda kwa simu halali ya mshkaji kisha haka akamwomba mshkaji amrushie zile code kwasababu mshkaji hakuelewa nia au tuseme sii mtaalamu kidogo wa maswala ya tech akatumtumia na hapo ndipo alipokamatwa
Kwa hiyo anamjua huyo "hacker"?
Kama hamjui basi ni idiot. Unamtumiaje kitu kutoka kwa simu yako mtu usiyemjua?

Kama anamjua na alimtumia kwa message ambayo ameitunza, akaripoti polisi.
 
Samahani kama kichwa cha habari hakijatulia.Naomba mwongozo wa nini kifanyike au nimshauri rafiki yangu whatspp namba yake ime be hacked na aliyemhak sasa ana access magroup yote ambayo jamaa yupo na anamtoa na kuleta usumbufu

Aisee huyo “jamaa” yako ni MZEMBE wa kiwango cha SGL

Anatumiwa code ambayo hajaiomba halafu anaombwa na mtu mwingine anampa?......... ana mjua huyo mtu
Kama hamjui hebu muwashe kibao kwa niaba yangu halafu umpe ushauri uliopewa hapa
 
Back
Top Bottom