msaada jaman jinsi ya kujua nimepata asilimia ngapi za mkopo

msaada jaman jinsi ya kujua nimepata asilimia ngapi za mkopo

lukey

Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
9
Reaction score
1
waungwana naombeni msaada wenu nijue nimepata asi;imia ngapi.
 
Toka chekechea hadi umepata chuo hujui njis ya kutafuta asilimia? napata shida kuelewa kama ni kwel bc nawacwac juu ya elimu ye2 na mitaala kwa ujumla,kama vp 2pia hapa jf kiac cha pesa unayopewa kwa mwaka kama ulivyohanishwa na heslb wadau wakusaidie. bora umekuwa muazi....na ukifika chuo endelea na hyo tabia ya kuuliza itakusaidia sn
 
hv kama unalipiwa ada yote na huchangii chochote dat means umepata asilimia mia c ndo manake wadau
 
kuna kasoro katika taarifa za HESLB - aidha wameamua kutoa 100% au bado hawajakamilisha zoezi hao ma IT ili waonyeshe mtu kapata kiasi gani cha mkopo kati ya gharama yote ya masomo kwa mwaka
 
Angalia gharama zako za chuo na kiasi ulichopewa na board kisha tafuta asilimia
 
It is very simple arithmetic you don't even have to ask anyone. Which university are you admitted to?
 
kuna kasoro katika taarifa za HESLB - aidha wameamua kutoa 100% au bado hawajakamilisha zoezi hao ma IT ili waonyeshe mtu kapata kiasi gani cha mkopo kati ya gharama yote ya masomo kwa mwaka

Kasoro gani labda
 
Back
Top Bottom