Untie
Member
- Dec 3, 2014
- 74
- 16
Heshma kwenu wakuu., naomben ushauri au hata tiba pale itapobidi. Ni wiki mbili sasa cousn angu anasumbuliwa na sumbuliwa na kuchubuka korodan pia uume umepooza(haujasimama) kwa wiki zote mbili sasa. Ameenda hosptali dk kamwangalia akampatia dawa ila mpaka leo hakuna mabadiliko. Msaada na ushauri tafadhari.