Msaada jaman; korodan kuchubuka

Msaada jaman; korodan kuchubuka

Untie

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
74
Reaction score
16
Heshma kwenu wakuu., naomben ushauri au hata tiba pale itapobidi. Ni wiki mbili sasa cousn angu anasumbuliwa na sumbuliwa na kuchubuka korodan pia uume umepooza(haujasimama) kwa wiki zote mbili sasa. Ameenda hosptali dk kamwangalia akampatia dawa ila mpaka leo hakuna mabadiliko. Msaada na ushauri tafadhari.
 
nitatizo moja tu.. dk nashangaa mdomo wangu wa chini unazidi kuwa mwekundu tu sijajua tatizo ni nini? ni saidie.........
 
Du, unaelekea unakula wake za watu, c bora unaiona km pambo, wenzako zinapotea kabsa
 
Back
Top Bottom