mkuu situmii simu natumia kompyuta tena mara nyingi nimeenda cafe lakini holaMm cfahamu kuomba kwa diploma ila ninachoweza jazia hapo n kwamba unatumia cmu au kompyuta maana kwenye cmu huwa inazingua so kama ulikua ukitumia kwenye cmu tafuta kompyuta na hangaika sana maana kwa ss wengi wako online so net ya tcu huwa inasumbua kipondi hiki ikiwa vipi fanya muda wa usiku saa mbili hivi kuendelea wengi hawako online na internet cafe nying znakua zimefungwa
pole sana ,jamaa yangu naye toka jana tunasumbuka kuaplai kwa diploma qualification hatujafanikiwa,tatizo ni kwao NACTE NA TCU,MAMBO YAKIWA MAZURI NTKUJULISHA BADAE
Mimi mwenyewe nimeweka post ambayo inaelezea vizuri tatizo lakini nashangaa mods sijui wameipeleka wapii...hizi digital wanalazimisha tu..watu tangu week ianze wanahangaika na ubaya zaidi hawajaweka alert yotote kueleza km kuna shida
Habari wakuu
Msaada wakuu,katika kuapply huku ukiwa na diploma imetushinda tumehangaika wee hadi vichwa vinauma na ukifika sehemu ya kuhakiki ulikotuma kwa m-pesa tunaambiwa namba sio sahihi,muda umeisha mwisho jumanne plz wadau nyie mmefanyaje?ni network inasumbua au hatuelewi ?hatujafanikiwa hata mara moja kulog in,
msaada tafadhali nawasilisha
Huo mfumo wa kuomba diploma kwa kupitia tcu umeanza lini ?naomba mnisaidie niko bush kweli
jamani mnaomba diploma kwa tcu? Cjaskia kitu kama hyo hebu niambien mana mimi npo village kias mambo yananpita 2.jaman nipen mautundu hayo.mana tumezoea diploma inaombwa kwa kuandika barua.