Msaada jaman TCU imenishinda

Msaada jaman TCU imenishinda

EPORA

Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
83
Reaction score
16
Habari wakuu
Msaada wakuu,katika kuapply huku ukiwa na diploma imetushinda tumehangaika wee hadi vichwa vinauma na ukifika sehemu ya kuhakiki ulikotuma kwa m-pesa tunaambiwa namba sio sahihi,muda umeisha mwisho jumanne plz wadau nyie mmefanyaje?ni network inasumbua au hatuelewi ?hatujafanikiwa hata mara moja kulog in,
msaada tafadhali nawasilisha
 
subiri wanakuja watakusaidia,lakini unaposema mwisho jumanne ni ya tarehe ngapi mezi wa ngapi?
 
Mm cfahamu kuomba kwa diploma ila ninachoweza jazia hapo n kwamba unatumia cmu au kompyuta maana kwenye cmu huwa inazingua so kama ulikua ukitumia kwenye cmu tafuta kompyuta na hangaika sana maana kwa ss wengi wako online so net ya tcu huwa inasumbua kipondi hiki ikiwa vipi fanya muda wa usiku saa mbili hivi kuendelea wengi hawako online na internet cafe nying znakua zimefungwa
 
Ni jumanne ya tarehe 30 april wiki ijayo mkuu,nimefanikiwa kujaza mwanzoni tu ila kulog in ili niingize faculty kuendelea na step two naambiwa error credential wakati nishaambiwa ni successful registered,help plz kibaya zaidi wamenambia tangu juzi kwamba watanitumia e mail hawajatuma nawapigia hawapatikani,wanazidi kunichanganya
 
Mm cfahamu kuomba kwa diploma ila ninachoweza jazia hapo n kwamba unatumia cmu au kompyuta maana kwenye cmu huwa inazingua so kama ulikua ukitumia kwenye cmu tafuta kompyuta na hangaika sana maana kwa ss wengi wako online so net ya tcu huwa inasumbua kipondi hiki ikiwa vipi fanya muda wa usiku saa mbili hivi kuendelea wengi hawako online na internet cafe nying znakua zimefungwa
mkuu situmii simu natumia kompyuta tena mara nyingi nimeenda cafe lakini hola
 
pole sana ,jamaa yangu naye toka jana tunasumbuka kuaplai kwa diploma qualification hatujafanikiwa,tatizo ni kwao NACTE NA TCU,MAMBO YAKIWA MAZURI NTKUJULISHA BADAE
 
pole sana ,jamaa yangu naye toka jana tunasumbuka kuaplai kwa diploma qualification hatujafanikiwa,tatizo ni kwao NACTE NA TCU,MAMBO YAKIWA MAZURI NTKUJULISHA BADAE

Mimi mwenyewe nimeweka post ambayo inaelezea vizuri tatizo lakini nashangaa mods sijui wameipeleka wapii...hizi digital wanalazimisha tu..watu tangu week ianze wanahangaika na ubaya zaidi hawajaweka alert yotote kueleza km kuna shida
 
Endelea kujarobu huku ukisubiri maana n kweli kipindi hiki huwa inasumbua mno,jaribu mara kwa mara kuna mida utaotea ndg,pole sana
 
Mimi mwenyewe nimeweka post ambayo inaelezea vizuri tatizo lakini nashangaa mods sijui wameipeleka wapii...hizi digital wanalazimisha tu..watu tangu week ianze wanahangaika na ubaya zaidi hawajaweka alert yotote kueleza km kuna shida

watu wamehangaika sana, na unatakiwa kulipa kwa mpesa, kulipa kwenyewe unatakiwa ulipe elfu 50 hiyo hela inaenda Nacte ndio uruhusiwe kuendelea kujaza hiyo form, watu wanasumbuka sana na bado ukiendelea kujaza unaambiwa kuna error, sijawahi kuona usumbufu wa aina hii.
 
we acha tu mkuu,sijui wenzetu wamefanyaje au nao wameotea,anaejua tatizo atuambie.
 
Mkuu ukifanikiwa utuambie,kama ulivyosema tatizo liko kwao ni lipi
 
jamani mnaomba diploma kwa tcu? Cjaskia kitu kama hyo hebu niambien mana mimi npo village kias mambo yananpita 2.jaman nipen mautundu hayo.mana tumezoea diploma inaombwa kwa kuandika barua.
 
Habari wakuu
Msaada wakuu,katika kuapply huku ukiwa na diploma imetushinda tumehangaika wee hadi vichwa vinauma na ukifika sehemu ya kuhakiki ulikotuma kwa m-pesa tunaambiwa namba sio sahihi,muda umeisha mwisho jumanne plz wadau nyie mmefanyaje?ni network inasumbua au hatuelewi ?hatujafanikiwa hata mara moja kulog in,
msaada tafadhali nawasilisha

POLENI SAANA, BUT NACHO KIJUA MIMI NI RAHISI, SIMPLE AND INSTANT..... COZ I HV BIN WORKING WITH THIS THINGS..... Kama upo online dakika hii contact me....0753210877
 
Huo mfumo wa kuomba diploma kwa kupitia tcu umeanza lini ?naomba mnisaidie niko bush kweli
 
mwenye ukaribu na TCU tafadhali piga nyundo vichwa vyao ili wapokee simu. kwa diploma holders wanasema sifa zimekidhi lakini ukiingia hatua ya kutaka kuweka kozi unazotaka wanasema subiri masaa 72 eti wanacheki sijui nini. Masaa 72 yanakuwa wiki nzima - simu wamefunga
 
jamani mnaomba diploma kwa tcu? Cjaskia kitu kama hyo hebu niambien mana mimi npo village kias mambo yananpita 2.jaman nipen mautundu hayo.mana tumezoea diploma inaombwa kwa kuandika barua.

utaratibu ulianza mwaka jana kama sikosei - lakini uwe na diploma sio chini ya Second Class au "B" au GPA ya 2.7 na kwenda juu au la utapoteza TCU fee ya Tshs 50,000/= (Nusu Laki)
 
Back
Top Bottom