E Elinasi A Mmbaga Member Joined Jul 20, 2013 Posts 76 Reaction score 3 Sep 4, 2013 #1 Naomba msaada wenu,nimechaguliwa IRDP Dodoma(Mipango)lakini sioni jina langu TCU! Hii inakuaje Wana Jf?
Naomba msaada wenu,nimechaguliwa IRDP Dodoma(Mipango)lakini sioni jina langu TCU! Hii inakuaje Wana Jf?
Maganga Mkweli JF-Expert Member Joined Jul 14, 2009 Posts 2,089 Reaction score 829 Sep 4, 2013 #2 uko mkoa gani ..? kama ni dar unaweza nenda ofisi za TCU kwa maelezo zaidi
ysm.WISEMAN Member Joined Aug 28, 2013 Posts 79 Reaction score 34 Sep 4, 2013 #3 Elinasi A Mmbaga said: Naomba msaada wenu,nimechaguliwa IRDP Dodoma(Mipango)lakini sioni jina langu TCU! Hii inakuaje Wana Jf? Click to expand... weka jina lako unalotumia pamoja na namba yako ambayo ulitumia ktk CAS kama username tuone tutakisaidia vipi.....!!!!
Elinasi A Mmbaga said: Naomba msaada wenu,nimechaguliwa IRDP Dodoma(Mipango)lakini sioni jina langu TCU! Hii inakuaje Wana Jf? Click to expand... weka jina lako unalotumia pamoja na namba yako ambayo ulitumia ktk CAS kama username tuone tutakisaidia vipi.....!!!!
E Elinasi A Mmbaga Member Joined Jul 20, 2013 Posts 76 Reaction score 3 Sep 4, 2013 Thread starter #4 Elinasi Aaron S0353/0021
ysm.WISEMAN Member Joined Aug 28, 2013 Posts 79 Reaction score 34 Sep 4, 2013 #5 Elinasi A Mmbaga said: Elinasi Aaron S0353/0021 Click to expand... Ok nipe Mda kidogo bro...!!!
E Elinasi A Mmbaga Member Joined Jul 20, 2013 Posts 76 Reaction score 3 Sep 4, 2013 Thread starter #6 Poa kaka,ila ni Equivalent bos
S sir imma Member Joined Aug 17, 2013 Posts 75 Reaction score 7 Sep 4, 2013 #7 Subiri NACTE watoe official utaliona jina lako.Sio TCU
ysm.WISEMAN Member Joined Aug 28, 2013 Posts 79 Reaction score 34 Sep 4, 2013 #8 ambao ni Equivalent yapasa kusubiria iwe official announced kaka hivyo Ondoa hofu .....!!!!
E Elinasi A Mmbaga Member Joined Jul 20, 2013 Posts 76 Reaction score 3 Sep 4, 2013 Thread starter #9 Mbarikiwe sana maana kiroho kilikua kinadunda mno,Thanks a lot Comrades