Msaada jaman

Msaada jaman

Joined
Jul 20, 2013
Posts
76
Reaction score
3
Naomba msaada wenu,nimechaguliwa IRDP Dodoma(Mipango)lakini sioni jina langu TCU!
Hii inakuaje Wana Jf?
 
uko mkoa gani ..? kama ni dar unaweza nenda ofisi za TCU kwa maelezo zaidi
 
ambao ni Equivalent yapasa kusubiria iwe official announced kaka hivyo Ondoa hofu .....!!!!
 
Back
Top Bottom