Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ethicx Pole kwa kuumwa na tumbo jaribu dawa yangu huenda ikakusaidia inshallah..Habari wana JF jamani mimi nina sumbuliwa na tumbo sana huwa linajaa hata nikila kidogo, tumbo lina jaa gesi sipati choo vizuri maumivu ya kibofu yani tafrani nimejaribu kwenda hospitali nimeishia kupewa magnesium tu. Naombeni msaada wajuzi wa afya
Mkuu Petro E. Mselewa Vipi hali yako hujambo lakini? haya nimesha toa Tiba atumie kisha anipe feedback atapona inshallah.Gesi kama ya Mtwara...I was kidding Mkuu MziziMkavu njoo huku utoe msaada tafadhali