African businesses
Member
- Feb 13, 2024
- 80
- 204
Kwa ufupi niseme tu hapa nilipo sielewi kabisa nimepigana sana mpaka kufika hii hatua niliyonayo, toka barabarani mpaka kumiliki ofisi, kama mnavyojua kusimamamisha biashara sio jambo ndogo.
Japo nilianza hii biashara ila nilijipa muda wa miaka mitatu kwamba labda ndio naweza kuona mwanga kwenye biashara yangu Kwa sasa ni muda wa kukabiliana changamoto na kujifunza zaidi kuhusu hii biashara.
Changamoto iliyonikuta mpaka nimeamua kuja hapa ni kwamba nimekwama kifedha kiasi kwamba nimepewa wiki nisipolipa hela ya pango niondoe vitu vya nitafute sehemu nyingine, nimejaribu kutafuta mkopo lakini changamoto ni kwamba benk wanasema sina vigezo na hizi ofisi za kukopesha wanataka wafanyakazi, ninaomba kwa anayejua sehemu yoyote wanaotoa mikopo anisaidie Mimi nitaweka bond vitu vyangu vya ofisini.
Nina camera, printer, mashine ya kutengeneza picha mbao, set ya taa za kupigia picha Photoshop, machine ya kukatia mbao na aluminium.
Ninahitaji mkopo kama wa sh milioni moja, msaada kwenu wadau