Msaada jamani dogo karibia anataka kujiua kutokana na matokeo mabaya.

Msaada jamani dogo karibia anataka kujiua kutokana na matokeo mabaya.

dada white

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
1,228
Reaction score
514
jamani naombeni tushauriane wapi nimpeleke wapi huyu dogo mwenye marks zifuatazo maana baba yake amemsusa nataka nivae mabomu ya kumsaidia kumpeleka certificates kwenye chuo chochote cha uuguzi au college yeyote ambayo itamatch na performance yake na masomo aliyosoma.
chem-D,Bio-D,Geo-D,Hist-D,Eng-D,Kisw-D,Civ-D,Math-f,Eng Literat-D means division 4 ya 28
Naomba tusaidiane kunielekeza chuo gani cha uuguzi kinaweza kumpokea ambacho kipo mkoa nje ya Dar es Salaam.
ada kiwango chochote nipo tayari kulipia tusaidiane wazazi iwe kinatoa mambo ya pharmacy,udaktari wa mifugo dogo yupo tayari kwa kozi yoyote elimradi ifanane na mambo ya kitabibu.Asanteni.
 
Kuna chuo kizuri cha Mvumi-Dodoma, Huyo watamchukua kwani kwa hayo matokeo yake yupo qualified kwa kusoma kozi za afya mfano nursing.
 
Dogo kafaulu sana kipindi hiki...............kuna mambo mengi ya kusoma yeye mwenyewe tu na hela zake!!
 
Anakosa physics ungempleka FTC. Anyway, mpeleke CBE certificate in Business Adimnistration mwaka mmoja, then anaunga Diploma miaka miwili. Atakapopata hiyo certificate, jilipue tena awe anasoma na computer kidogo kidogo ili aende na wakati!!
 
Huna machine ya kushonea hapo hme?kama unayo tafta fundi mzuroi awe anaenda kumfundisha alafu mkabidhi kama kitega uchumi chake na uacje ku;mnunulia nguo za ndan awe na akili ya kutafta
 
Huna machine ya kushonea hapo hme?kama unayo tafta fundi mzuroi awe anaenda kumfundisha alafu mkabidhi kama kitega uchumi chake na uacje ku;mnunulia nguo za ndan awe na akili ya kutafta
haya ni masihara sasa .kweli mtoa mada hujaelewa anataka kumsaidia ila kumsomesha maswala yakitabibu????????acha mambo ya ajabu!!!nyie ndio mnabanaga rizri za wenzaenu sikawii kukufananisha na mchawi
 
Huna machine ya kushonea hapo hme?kama unayo tafta fundi mzuroi awe anaenda kumfundisha alafu mkabidhi kama kitega uchumi chake na uacje ku;mnunulia nguo za ndan awe na akili ya kutafta

dogo ni wa kiume na anasema yupo interested na mambo ya kiuguzi isitoshe dingi yake ni mjeshi kabla ya kumtake care kutokana na matokeo mabaya.
 
jamani naombeni tushauriane wapi nimpeleke wapi huyu dogo mwenye marks zifuatazo maana baba yake amemsusa nataka nivae mabomu ya kumsaidia kumpeleka certificates kwenye chuo chochote cha uuguzi au college yeyote ambayo itamatch na performance yake na masomo aliyosoma. chem-D,Bio-D,Geo-D,Hist-D,Eng-D,Kisw-D,Civ-D,Math-f,Eng Literat-D means division 4 ya 28 Naomba tusaidiane kunielekeza chuo gani cha uuguzi kinaweza kumpokea ambacho kipo mkoa nje ya Dar es Salaam. ada kiwango chochote nipo tayari kulipia tusaidiane wazazi iwe kinatoa mambo ya pharmacy,udaktari wa mifugo dogo yupo tayari kwa kozi yoyote elimradi ifanane na mambo ya kitabibu.Asanteni.
http://www.pmoralg.go.tz/documents_..._habari ya ziara ya raisi wa logodi korea.pdf
 
Kitabibu si atatuchoma fenegani badala ya kristapen
Asome masomo marahisi kama biashara

Si-recomment mambo ya utabibu aisee, inless haya matokeo ni ajali
 
Mpendwa Nivea mbona vya nje ya nchi tena nilimanisha nje ya Dar yaani mikoa ya tz out of Dar au pembezoni mwa mkoa huu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom