dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 514
- Thread starter
- #21
Uzuri mie nakuwambia ukweli, utabibu mgumu wewe
Labda kama anataka awe wa kufunga vidonda kila siku
kwani hakuna aliyesomaga akamaliza na je imewekwa ili asome nani labda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri mie nakuwambia ukweli, utabibu mgumu wewe
Labda kama anataka awe wa kufunga vidonda kila siku
jamani naombeni
tushauriane wapi nimpeleke wapi huyu dogo mwenye marks zifuatazo maana
baba yake amemsusa nataka nivae mabomu ya kumsaidia kumpeleka
certificates kwenye chuo chochote cha uuguzi au college yeyote ambayo
itamatch na performance yake na masomo aliyosoma.
chem-D,Bio-D,Geo-D,Hist-D,Eng-D,Kisw-D,Civ-D,Math-f,Eng Literat-D means
division 4 ya 28
Naomba tusaidiane kunielekeza chuo gani cha uuguzi kinaweza kumpokea
ambacho kipo mkoa nje ya Dar es Salaam.
ada kiwango chochote nipo tayari kulipia tusaidiane wazazi iwe kinatoa
mambo ya pharmacy,udaktari wa mifugo dogo yupo tayari kwa kozi yoyote
elimradi ifanane na mambo ya kitabibu.Asanteni.
Anakosa physics ungempleka FTC. Anyway, mpeleke CBE certificate in Business Adimnistration mwaka mmoja, then anaunga Diploma miaka miwili. Atakapopata hiyo certificate, jilipue tena awe anasoma na computer kidogo kidogo ili aende na wakati!!
Ahsante sana mkuu kwa kunikumbusha nimejikuta nimevutia kwangu mambo ya uhandisi. Kuhusu huko utabibu, ni vizuri aangalie vyuo vya maabara naona ndiyo wanakuwa na fursa nzuri. Ajaribu chuo cha Nursing Bugando, huwa wanatoa certificate in those areas.Mkuu amesema kinachohusiana na mambo ya utabibu
mtambuzi fanya haraka huku mdogo wa dada white anataka akajiingize kwenye karai la chips.