Msaada jamani dogo karibia anataka kujiua kutokana na matokeo mabaya.

Uzuri mie nakuwambia ukweli, utabibu mgumu wewe
Labda kama anataka awe wa kufunga vidonda kila siku

kwani hakuna aliyesomaga akamaliza na je imewekwa ili asome nani labda?
 

Dogo atulize boli aache kujilaumu,aende kozi za kitabibu aanzie na certificates kwani kwa bongo zinalipa na hata ajira zake hazina longolongo na mishahara yake ni alhamdulilahi hata kwa elimu za levo ya cheti,mpeleke huko,hatajutia na wewe hutashindwa kumlipia ada,mbelembele atajiendeleza mwenyewe akishaingia kwenye system
 
Embu muombee kwenye vyuo vya afya asome certificate za Utabibu. Amefaulu vizuri sana kwa mwaka huu, anauzika kwenye certificates nyingi.
 
Anakosa physics ungempleka FTC. Anyway, mpeleke CBE certificate in Business Adimnistration mwaka mmoja, then anaunga Diploma miaka miwili. Atakapopata hiyo certificate, jilipue tena awe anasoma na computer kidogo kidogo ili aende na wakati!!

Mkuu amesema kinachohusiana na mambo ya utabibu
 
Mkuu amesema kinachohusiana na mambo ya utabibu
Ahsante sana mkuu kwa kunikumbusha nimejikuta nimevutia kwangu mambo ya uhandisi. Kuhusu huko utabibu, ni vizuri aangalie vyuo vya maabara naona ndiyo wanakuwa na fursa nzuri. Ajaribu chuo cha Nursing Bugando, huwa wanatoa certificate in those areas.
 
unaweza pia kumchekia TUMBI TABORA akasoma KILIMO au CHUO CHA NYUKI, PINDA atamwajiri kwenye MIZINGA YAKE
 
mtambuzi fanya haraka huku mdogo wa dada white anataka akajiingize kwenye karai la chips.

mkuu bujibuji
inavyoonekana pepo la mauti linamkaribia na soon anaweza kutuacha duniani
sasa ni mi na wewe na dadake ama kakayake kuanza kulaani na kukemea nguvu za mauti...hizi nguvu ukikimbilia kupeleka shule utapeleka jeneza

sasa basi wewe ulie nae
sema bwana yesu ninatuubu mbele zako,ninatubu kwa niaba ya (mtaje jinalake)..ninakuomba na kuutisha uwepo wako juu ya nyumba (taja sehemu mnamoishi) ,tunalaaani kila ngome za ibilisi tunalaani roho ya mauti juu yake(taja jina) tunakataa sawa sawa na zab 118 "hatutakufa bali tutaishi tukiyasimulia makuu ya bwana""simama na hili neno mwambie mungu siitaji waala kusikia kuzika ...ninaomba favour ikapate kutembea kwenye nyumba yetu naomba ukapate kumzingira ukamlinde kwa damu ya yesu sawa sawa na ufu 12:11 ulisema wamshinda kwa damu ya mwana kondoo yesu alie hai...nasimama na blood juu ya(taja jina) ikapate kutembea nae popote alipo ..kama una annointing oil mpake huyo kila atokapo mwambie mungu mafuta yanavunja nira za mwovu shetan...ninavunja roho za mauti ju ya mgdogo wetu huyu ninalaani kwa damu ya yesu ....ulisema hesab 14:28 lolote tutakalosema nafisni mwetu unakwenda kufanya basi tunaomba ihai juu ya ndugu yetu mafanikio katika maisha yake katika jina la yesu naomba na kushukuru

amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…