politics observer
JF-Expert Member
- Jun 18, 2024
- 385
- 299
Natumai wote n wazima wa afya…
Nisiwachoshe ndugu zangu naomba kufahamu hizi gari zinashida gani?
Subaru impreza , 4th Generation year 2012 - 2016. wengine hupenda kuziita impreza new model..
Hizi gari kwa haraka haraka zimependelewa sn, kuanzia interior mpaka exterior… yani ni mikebe haswaa.
Ina feature nyingi ambazo kila gari ya kisasa bac lazima iwe nayo. Pia ni very comfortable, safety features za kutosha, engine power ✅, reather seats✅, stylish… na mazaga kibao..
Ina engine ndogo tuu na ni very economy. Cc 1,600 na 2000,
Na pia yapo matoleo ya hybrid,
Hizi gari kwa bei ya mkononi zinauzwa kitonga sn, na nyingi ni number E..
Yani kila anaeuza utasikia anasema Exchage allowed ✅
Sasa kabla wengine hatujaingia mkenge please naomba tusanuane, hasa kwa wale ambao walishawai kuyamiliki…
Shida ni nn mpaka resale value yake iwe chini hivi? Kama ni Mimba tusanuane please..
Natanguliza shukrani