Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 466
- 273
Habari zenu wakuu,ninaomba msaada kwa yeyote yule mwenye uelewa au anayejua tiba, ni kuhusu hizi ndoto nyevu kwa kweli hii sasa imekua too much hadi nahisi nina ugojwa kama sio matatizo, haiwezekani ndani ya wiki moja naota mara mbili hadi tatu kazi kujichafua tu kila kukicha.
Mwanzoni nilizani ni hali ya kawaida lakini kila siku zinavyozidi kwenda naona inakuwa too much nikichukulia na huu umri nilionao naona kama imezidi hii, kama ni kubalehe ndio iwe hivi jamani na mbona nimeshapita hiyo hatua kwa sababu nina miaka 23 kwa sasa,je, hii ni hali ya kawaida kweli? Au ni tatizo?
Na kama ni tatizo dawa yake ni nini?.nitashukuru sana kwa yeyote atakayenisaidia hata kwa mawazo tu.asanteni sana