Msaada jamani: Hizi ndoto nyevu zitaniua sasa

Olsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
466
Reaction score
273
Habari zenu wakuu,ninaomba msaada kwa yeyote yule mwenye uelewa au anayejua tiba, ni kuhusu hizi ndoto nyevu kwa kweli hii sasa imekua too much hadi nahisi nina ugojwa kama sio matatizo, haiwezekani ndani ya wiki moja naota mara mbili hadi tatu kazi kujichafua tu kila kukicha.

Mwanzoni nilizani ni hali ya kawaida lakini kila siku zinavyozidi kwenda naona inakuwa too much nikichukulia na huu umri nilionao naona kama imezidi hii, kama ni kubalehe ndio iwe hivi jamani na mbona nimeshapita hiyo hatua kwa sababu nina miaka 23 kwa sasa,je, hii ni hali ya kawaida kweli? Au ni tatizo?

Na kama ni tatizo dawa yake ni nini?.nitashukuru sana kwa yeyote atakayenisaidia hata kwa mawazo tu.asanteni sana
 
Kwani tatizo liko wapi mkuu? Unapata starehe na unaokoa vitu vingi tu kwanza hupati ukimwi pili hulipi guest tatu huongi kitu, shida iko wapi sasa? Yaani unapiga mabao mara mbili kwa wiki for free bado unalalamika kweli?
 
Mkuu,tatizo nimechoka sasa kufua daily
 
Habari zenu wakuu,ninaomba msaada kwa yeyote yule mwenye uelewa au anayejua tiba,ni kuhusu hizi ndoto nyevu kwa kweli hii sasa imekua too much hadi nahisi nina ugojwa kama sio matatizo,haiwezekani ndani ya wiki moja naota mara mbili hadi tatu kazi kujichafua tu kila kukicha.mwanzoni nilizani ni hali ya kawaida lakini kila siku zinavyozidi kwenda naona inakuwa too much nikichukulia na huu umri nilionao naona kama imezidi hii, kama ni kubalehe ndio iwe hivi jamani na mbona nimeshapita hiyo hatua kwa sababu nina miaka 23 kwa sasa,je hii ni hali ya kawaida kweli? Au ni tatizo? Na kama ni tatizo dawa yake ni nini?.nitashukuru sana kwa yeyote atakayenisaidia hata kwa mawazo tu.asanteni sana
Mkuu Olsea hiyo ni Dalili una Jini mwanamke ndio limekupenda ukilala usiku

linakujia na unafanya nalo mambo ya Mapenzi limekupenda siku nyingi tu huenda hata katka maisha yako usiweze kukaa na mke wewe litakuwa

hilo shetani la kike linakuharibia ndoa yako au hata ukiwa na mpenzi hutaweza kuwa nae muda mrefu.Mkuu usimsikilize

Mkuu appoh Eti upige Punyeto ukipiga punyeto unajiharibia nguvu zako za kiume. Jaribu kufanya hivi kila siku usiku

chukuwa maganda ya vitunguu saumu tiya kwenye sufuria ya maji changanya pamoja uwe kila wakati wa kulala

ujipake hayo maji ya Vitunguu samu mwilini mwako wote kisha ulale atakuwa mbali na wewe kwa muda fulani hutakuwa

tena unajikojolea usingizi tena na ukitaka dawa Mbadala nitafute na uniandikie Baruwa ya Pepe kwa Email yangu hii

(fewgoodman@hotmail.com)

jaribu kupiga punyeto at least mara tatu kwa wiki
Mkuu appoh Acha kuwa poteza watu kama huanneno la kusema tafadhali bora unyamaze .

562406_391824147537162_261686161_n.jpg

Huyu ni JINI MAHABA wa Kike anaitwa SUCCUBI huwajia wanaume na kufanya nao Mapenzi wakati usiku umelala.
 
Mh!!
Huna tofauti na akina sheikh Yahya.
 
MziziMkavu hiyo picha usingeiweka inatisha kwa kweli. Hivi mtu anayesex na jini mahaba huwa shahawa zake huonekana? Yaani kuna uwezekano mwanaume akajichafua?
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu hiyo picha usingeiweka inatisha kwa kweli. Hivi mtu anayesex na jini mahaba huwa shahawa zake huonekana? Yaani kuna uwezekano mwanaume akajichafua?
Mkuu nitonye Usiogope mbona mimi ninaye Jini na

simuogopi? Jini Mahaba ni mbaya sana kwa Wanawake yupo na kwa wanaume pia yupo unapofanya nae mapenzi ukizoea hutaki tena Wanawake wa duniani utakuwa nae huyo kila siku ila ana wivu sana ukienda na wanawake wa Kibinadamu anakuvunja nguvu zako za

kiume unakuwa huweza kusimamisha ndizi yako vizuri usimuogope hana ubaya ila akikupenda kazi kwako. Jini wa Kiume anaye wafuata wanawake usiku huyu hapa chini . Unapofanya nae Sex Shahawa zako zinaonekana unakuwa umejimwagia wewe mwenyewe yeye anakuwa unapo amka yeya anakuwa amekwisha kimbia.

578827_428643790521864_1903783179_n.jpg

JINI Subiani Jıni Dume huyo anaye wapenda wanawake,akikupenda huwa anakuja usingizini kwa sura kama hiyo hapo juu ndio amejitahidi hapo kujiweka Bonge la Handsome kwa ajili ya kuwafuata wanawake usiku usingizini.
 
mkuu olsea hiyo ni dalili una jini mwanamke ndio limekupenda ukilala usiku

linakujia na unafanya nalo mambo ya mapenzi limekupenda siku nyingi tu huenda hata katka maisha yako usiweze kukaa na mke wewe litakuwa

hilo shetani la kike linakuharibia ndoa yako au hata ukiwa na mpenzi hutaweza kuwa nae muda mrefu.mkuu usimsikilize

mkuu appoh eti upige punyeto ukipiga punyeto unajiharibia nguvu zako za kiume. Jaribu kufanya hivi kila siku usiku

chukuwa maganda ya vitunguu saumu tiya kwenye sufuria ya maji changanya pamoja uwe kila wakati wa kulala

ujipake hayo maji ya vitunguu samu mwilini mwako wote kisha ulale atakuwa mbali na wewe kwa muda fulani hutakuwa

tena unajikojolea usingizi tena na ukitaka dawa mbadala nitafute na uniandikie baruwa ya pepe kwa email yangu hii

(fewgoodman@hotmail.com)

mkuu appoh acha kuwa poteza watu kama huanneno la kusema tafadhali bora unyamaze .

562406_391824147537162_261686161_n.jpg

huyu ni jini mahaba wa kike anaitwa succubi huwajia wanaume na kufanya nao mapenzi wakati usiku umelala.
asante sana kwa ushauri,ngoja nijaribu kufanya kama ulivyonielekeza
 
Yaani wewe mzizimkavu jamani! Aaaagh!
Basi tu kwa vile wewe ni rafiki yangu ila ningekuweka ignore list. Hayo mapicha gani sasa!
 
Mkuu Olsea hiyo ni Dalili una Jini mwanamke ndio limekupenda ukilala usiku

linakujia na unafanya nalo mambo ya Mapenzi limekupenda siku nyingi tu huenda hata katka maisha yako usiweze kukaa na mke wewe litakuwa

hilo shetani la kike linakuharibia ndoa yako au hata ukiwa na mpenzi hutaweza kuwa nae muda mrefu.Mkuu usimsikilize

Mkuu appoh Eti upige Punyeto ukipiga punyeto unajiharibia nguvu zako za kiume. Jaribu kufanya hivi kila siku usiku

chukuwa maganda ya vitunguu saumu tiya kwenye sufuria ya maji changanya pamoja uwe kila wakati wa kulala

ujipake hayo maji ya Vitunguu samu mwilini mwako wote kisha ulale atakuwa mbali na wewe kwa muda fulani hutakuwa

tena unajikojolea usingizi tena na ukitaka dawa Mbadala nitafute na uniandikie Baruwa ya Pepe kwa Email yangu hii

(fewgoodman@hotmail.com)

Mkuu appoh Acha kuwa poteza watu kama huanneno la kusema tafadhali bora unyamaze .

562406_391824147537162_261686161_n.jpg

Huyu ni JINI MAHABA wa Kike anaitwa SUCCUBI huwajia wanaume na kufanya nao Mapenzi wakati usiku umelala.
Mbona huyo jin kwangu hajawai hata ck 1 kujap??Muda mwng nakuwa full beer+ktmoto
 
Sasa hapa naona kesi ya Mbwa anapelekewa Fisi..khaa..Hapo ni kwa jina la aliye juu tuu Yesu Kristo...Hakuna cha vitinguu wala nn..
 
nakubaliana na mzizi mkavu, hizo ndoto sio nzuri kabisa jitahidi sana kuomba, na kama unatabia ya kuangalia picha za ngono acha wakati mwingine huo ndio mlango wa hayo majini kupita, kama wewe ni mkristo mtafute mchungaji wako umueleze kwa waislam sijui wnafanyaje
Mkuu Olsea hiyo ni Dalili una Jini mwanamke ndio limekupenda ukilala usiku

linakujia na unafanya nalo mambo ya Mapenzi limekupenda siku nyingi tu huenda hata katka maisha yako usiweze kukaa na mke wewe litakuwa

hilo shetani la kike linakuharibia ndoa yako au hata ukiwa na mpenzi hutaweza kuwa nae muda mrefu.Mkuu usimsikilize

Mkuu appoh Eti upige Punyeto ukipiga punyeto unajiharibia nguvu zako za kiume. Jaribu kufanya hivi kila siku usiku

chukuwa maganda ya vitunguu saumu tiya kwenye sufuria ya maji changanya pamoja uwe kila wakati wa kulala

ujipake hayo maji ya Vitunguu samu mwilini mwako wote kisha ulale atakuwa mbali na wewe kwa muda fulani hutakuwa

tena unajikojolea usingizi tena na ukitaka dawa Mbadala nitafute na uniandikie Baruwa ya Pepe kwa Email yangu hii

(fewgoodman@hotmail.com)

Mkuu appoh Acha kuwa poteza watu kama huanneno la kusema tafadhali bora unyamaze .

562406_391824147537162_261686161_n.jpg

Huyu ni JINI MAHABA wa Kike anaitwa SUCCUBI huwajia wanaume na kufanya nao Mapenzi wakati usiku umelala.
 
Jini mahaba...........sali sana coz that isn't normal...........polee...!!
 
Uuuwi wewe...ndo yupo hivo....!!
Mkuu Olsea hiyo ni Dalili una Jini mwanamke ndio limekupenda ukilala usiku

linakujia na unafanya nalo mambo ya Mapenzi limekupenda siku nyingi tu huenda hata katka maisha yako usiweze kukaa na mke wewe litakuwa

hilo shetani la kike linakuharibia ndoa yako au hata ukiwa na mpenzi hutaweza kuwa nae muda mrefu.Mkuu usimsikilize

Mkuu appoh Eti upige Punyeto ukipiga punyeto unajiharibia nguvu zako za kiume. Jaribu kufanya hivi kila siku usiku

chukuwa maganda ya vitunguu saumu tiya kwenye sufuria ya maji changanya pamoja uwe kila wakati wa kulala

ujipake hayo maji ya Vitunguu samu mwilini mwako wote kisha ulale atakuwa mbali na wewe kwa muda fulani hutakuwa

tena unajikojolea usingizi tena na ukitaka dawa Mbadala nitafute na uniandikie Baruwa ya Pepe kwa Email yangu hii

(fewgoodman@hotmail.com)

Mkuu appoh Acha kuwa poteza watu kama huanneno la kusema tafadhali bora unyamaze .

562406_391824147537162_261686161_n.jpg

Huyu ni JINI MAHABA wa Kike anaitwa SUCCUBI huwajia wanaume na kufanya nao Mapenzi wakati usiku umelala.
 
Ha ha ha ha ha,acha kuongopa bwana afu wantisha..........uwiiiii...
Mkuu nitonye Usiogope mbona mimi ninaye Jini na

simuogopi? Jini Mahaba ni mbaya sana kwa Wanawake yupo na kwa wanaume pia yupo unapofanya nae mapenzi ukizoea hutaki tena Wanawake wa duniani utakuwa nae huyo kila siku ila ana wivu sana ukienda na wanawake wa Kibinadamu anakuvunja nguvu zako za

kiume unakuwa huweza kusimamisha ndizi yako vizuri usimuogope hana ubaya ila akikupenda kazi kwako. Jini wa Kiume anaye wafuata wanawake usiku huyu hapa chini . Unapofanya nae Sex Shahawa zako zinaonekana unakuwa umejimwagia wewe mwenyewe yeye anakuwa unapo amka yeya anakuwa amekwisha kimbia.

578827_428643790521864_1903783179_n.jpg

JINI Subiani Jıni Dume huyo anaye wapenda wanawake,akikupenda huwa anakuja usingizini kwa sura kama hiyo hapo juu ndio amejitahidi hapo kujiweka Bonge la Handsome kwa ajili ya kuwafuata wanawake usiku usingizini.
 
Mbona huyo jin kwangu hajawai hata ck 1 kujap??Muda mwng nakuwa full beer+ktmoto
Mkuu delako unataka huyu JINI awe anakujia kwako? Fanya hivi Tafuta shuka nyeupe tandika

kitandani mwako kisha tafuta udi wa kijiti udi wenyewe uwe ni vijiti 4 washa usiku unapolala weka pande 4 za kitanda

mbele upande wa kulia kijiti kimoja na upande wa kushoto kijiti kimoja na nyuma ya kitanda weka hivyo washa huo udi huku unamuita kwa jina lake hilo

uwake huo udi wa kijiti mpaka uzimike wewe lala fanya hivyo kwa muda wa siku 3 atakujia na utakuala nae Raha kwa raha zako haondoki

tena huyo akija kwako anza siku ya alkhamisi usiku kuamkia ijumaa malizia siku ya jumamosi usiku kisha njoo hapa unipe

Feedback.
 
Back
Top Bottom