Unalala vibaya, usilale kifudifudi .
Lalia ubavu wa kulia
jaribu kupiga punyeto at least mara tatu kwa wiki
Usiombe wewe umpate jini mahaba umekwisha katika maisha yako yote atakuharibia kila kitu . Kama ni mwanamke huwezi kuolewa ua kuzaa watoto kama ni Mwanamme huwezi kuowa au kuishi na mwanamke na utakuwa una upungufu wa nguvu zako za kiume kazi anaharibu atakuharibia kila kitu katika maisha yako na utajuta kwanini umekuwa nae .Niambukize mimi aisee
Mkuu nitonye Usiogope mbona mimi ninaye Jini na
simuogopi? Jini Mahaba ni mbaya sana kwa Wanawake yupo na kwa wanaume pia yupo unapofanya nae mapenzi ukizoea hutaki tena Wanawake wa duniani utakuwa nae huyo kila siku ila ana wivu sana ukienda na wanawake wa Kibinadamu anakuvunja nguvu zako za
kiume unakuwa huweza kusimamisha ndizi yako vizuri usimuogope hana ubaya ila akikupenda kazi kwako. Jini wa Kiume anaye wafuata wanawake usiku huyu hapa chini . Unapofanya nae Sex Shahawa zako zinaonekana unakuwa umejimwagia wewe mwenyewe yeye anakuwa unapo amka yeya anakuwa amekwisha kimbia.
JINI Subiani Jıni Dume huyo anaye wapenda wanawake,akikupenda huwa anakuja usingizini kwa sura kama hiyo hapo juu ndio amejitahidi hapo kujiweka Bonge la Handsome kwa ajili ya kuwafuata wanawake usiku usingizini.
Mkuu delako unataka huyu JINI awe anakujia kwako? Fanya hivi Tafuta shuka nyeupe tandika
kitandani mwako kisha tafuta udi wa kijiti udi wenyewe uwe ni vijiti 4 washa usiku unapolala weka pande 4 za kitanda
mbele upande wa kulia kijiti kimoja na upande wa kushoto kijiti kimoja na nyuma ya kitanda weka hivyo washa huo udi huku unamuita kwa jina lake hilo
uwake huo udi wa kijiti mpaka uzimike wewe lala fanya hivyo kwa muda wa siku 3 atakujia na utakuala nae Raha kwa raha zako haondoki
tena huyo akija kwako anza siku ya alkhamisi usiku kuamkia ijumaa malizia siku ya jumamosi usiku kisha njoo hapa unipe
Feedback.
Huyu jini wa kike ana kifua kizuri aiseee . Lol
Jini mahaba...........sali sana coz that isn't normal...........polee...!!
Usithubutu huu Upumbavu
Mi roho hii ikishakuingia kuacha ni kazi na effect zake ni kubwa
Majini mahaba yanatesa sana unaeza usiolewe au hata ukiolewa ukizaa watoto wanakufa yanayumbisha uchumi na yanaleta mafarakano ndani ya nyumba ila ukiliitia jina la Yesu ni kazi ndogo sana hiyo....