Msaada jamani: Hizi ndoto nyevu zitaniua sasa

Msaada jamani: Hizi ndoto nyevu zitaniua sasa

Haya majini Mahaba noma si bora yadinyane yenyewe kws yenyewe tu na sie tumalizane ki binadamu.
 
hayo ni majini (mahaba)spritual husband/wife,na husababisha problem sana hata kwa wenye familia,mke/mme kuchukukiana kabisa,km wana b'ness inakufa,yaani balaa tupuqkwa kifupi huleta mifarakano ndani ya ndoa
..km mkristo dawa ni 1 tu ackudanganye m2,Only Yesu/maombi unless utazunguka bila suluhisho!nenda kwa mchungaji muelezee atakusaidia atakusaidia
 
Niambukize mimi aisee
Usiombe wewe umpate jini mahaba umekwisha katika maisha yako yote atakuharibia kila kitu . Kama ni mwanamke huwezi kuolewa ua kuzaa watoto kama ni Mwanamme huwezi kuowa au kuishi na mwanamke na utakuwa una upungufu wa nguvu zako za kiume kazi anaharibu atakuharibia kila kitu katika maisha yako na utajuta kwanini umekuwa nae .
 
Mkuu nitonye Usiogope mbona mimi ninaye Jini na

simuogopi? Jini Mahaba ni mbaya sana kwa Wanawake yupo na kwa wanaume pia yupo unapofanya nae mapenzi ukizoea hutaki tena Wanawake wa duniani utakuwa nae huyo kila siku ila ana wivu sana ukienda na wanawake wa Kibinadamu anakuvunja nguvu zako za

kiume unakuwa huweza kusimamisha ndizi yako vizuri usimuogope hana ubaya ila akikupenda kazi kwako. Jini wa Kiume anaye wafuata wanawake usiku huyu hapa chini . Unapofanya nae Sex Shahawa zako zinaonekana unakuwa umejimwagia wewe mwenyewe yeye anakuwa unapo amka yeya anakuwa amekwisha kimbia.

578827_428643790521864_1903783179_n.jpg



JINI Subiani Jıni Dume huyo anaye wapenda wanawake,akikupenda huwa anakuja usingizini kwa sura kama hiyo hapo juu ndio amejitahidi hapo kujiweka Bonge la Handsome kwa ajili ya kuwafuata wanawake usiku usingizini.

Hatari hii aisee hiyo sura mbona inatisha??
 
Mkuu delako unataka huyu JINI awe anakujia kwako? Fanya hivi Tafuta shuka nyeupe tandika

kitandani mwako kisha tafuta udi wa kijiti udi wenyewe uwe ni vijiti 4 washa usiku unapolala weka pande 4 za kitanda

mbele upande wa kulia kijiti kimoja na upande wa kushoto kijiti kimoja na nyuma ya kitanda weka hivyo washa huo udi huku unamuita kwa jina lake hilo

uwake huo udi wa kijiti mpaka uzimike wewe lala fanya hivyo kwa muda wa siku 3 atakujia na utakuala nae Raha kwa raha zako haondoki

tena huyo akija kwako anza siku ya alkhamisi usiku kuamkia ijumaa malizia siku ya jumamosi usiku kisha njoo hapa unipe

Feedback.

#mzizimkavu sikuelewi hata kidogo
 
Majini mahaba yanatesa sana unaeza usiolewe au hata ukiolewa ukizaa watoto wanakufa yanayumbisha uchumi na yanaleta mafarakano ndani ya nyumba ila ukiliitia jina la Yesu ni kazi ndogo sana hiyo....
 
Majini mahaba yanatesa sana unaeza usiolewe au hata ukiolewa ukizaa watoto wanakufa yanayumbisha uchumi na yanaleta mafarakano ndani ya nyumba ila ukiliitia jina la Yesu ni kazi ndogo sana hiyo....

What is majini, ni kitu gani?
 
Jamaa acha complication za majini mahaba sijui madude gani.....maana me najua kama ni jini mahaba usingekua unaona hata hzo sperm ukimaliza kupiga mechi ndotoni unakuta kavu ila ushatumika....
We tafuta demu punguza hao wareno wamejaa sana bank....
 
Ndio kikwaida Binadamu hatuwezi kuingiza tupe zetu katika nyuchi za majini(wanachokifanya ni kutu seduce tunna kutuharibu miilie yetu ili iwe haifai kwa matumizi ya kawaida)...ila Jini wa kiume anaweza kumuingilia mwanamke wa kibinaadamu(yasemekana huwa wanawazalisha pia..ndoma baadhi ya siku mwanamke huota amezaa)....Na vitu kama hivyo...ni viumbe wabaya sana kwa kweli....
 
Ni viumbe wa Mwenyezi Mungu ambao amewaumba kwa kutumia moto...Wao wanatuona...ila wao hatuwaoni....katika hali ya kawaida...ila wakiamua kufanya uhuni ndo hujigeuza na kujinasibisha na viumbe wengine...Nyoka,binadamu.punda,farasi nk...Viumbe hawa wapo na wala usibishe....
 
inawezekana mkuu majini wana hila nyingi sana...mara nyingi majini nama hii yanapokujia siku za mwanzo hawa hawataki ujue kua una majini...ndo kusema zile dalili za msingi huwa hazijitokezi......Inawezekana Kijana anakula sana vyakula vya protein pia..kama maziwa, asali, nyama ya mbuzi...nyama ya mbuzi ni balaa pia...kwa io angeweza kupunguza hivi pia...ila kuota wet dream siku 3-4 kwa wiki ni nyingi sana...uzima wa mtu nalo neno lakini...
 
Back
Top Bottom