wakati bodi ya mikopo wanatutaka tuombe mkopo kabla ya tar.30 juni, jeshi linatuhitaji tar mosi juni, na kundi jingine linatakiwa kwenda mwezi sept. halafu kuna site nimesoma kuwa matokeo yetu {kdt cha 6} yatatoka oktoba, sasa chuo tutaenda mwaka huu au mwakani? na tuombe mkopo mwaka huu au mwakani? na je kama ni mwaka huu, watakoenda jkt awamu ya pili wataingia chuo lini? na kama chuo ni mwakani, kuna haja ya kuomba mkopo mwaka huu? naombeni mnijuze kwa wenye taarifa kamili.
Usiumize kichwa mkuu,utaratibu unajulikana...(1)Heslb nitofaut na tcu,helslb ni mapema jitaid kuomba mkopo kabla ujaenda jkt...(2)kwenda jkt ni sheria,kila mwanafunz kabla ya kuingia university ni lazma aende jkt...(3)jkt wametimiza majukum yao ya kupanga wanafunz wote kwenda jkt kufuatana na awamu...(4)vyuo vikuu vyote vinafungua mwez october 2014...(5)matokeo yanatoka kabla ya 31/8/2014,coz tcu wameandika iyo ndo deadline ya maombi kwa wanafunz wote...(6)awamu ya pili wataandika barua,ya kutokwenda
nashukuru ndugu kwa maelezo mazuri. lakini je, sisi wa awamu ya kwanza tutafanya application tcu tukiwa jeshini?