ntita
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 513
- 285
wakati bodi ya mikopo wanatutaka tuombe mkopo kabla ya tar.30 juni, jeshi linatuhitaji tar mosi juni, na kundi jingine linatakiwa kwenda mwezi sept. halafu kuna site nimesoma kuwa matokeo yetu {kdt cha 6} yatatoka oktoba, sasa chuo tutaenda mwaka huu au mwakani? na tuombe mkopo mwaka huu au mwakani? na je kama ni mwaka huu, watakoenda jkt awamu ya pili wataingia chuo lini? na kama chuo ni mwakani, kuna haja ya kuomba mkopo mwaka huu? naombeni mnijuze kwa wenye taarifa kamili.