MSAADA JAMANI: Inawezekana kupata marksheet ya A level?

MSAADA JAMANI: Inawezekana kupata marksheet ya A level?

mr Dude

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
283
Reaction score
349
Kuna mdogo wangu mmoja hapa alikuwa ameomba chuo India ila wamemwambia atume A level marksheet.

Sasa naomba kuuliza unaweza pata hio marksheet, wizara ya elimu kule???
 
Back
Top Bottom