Je kutoka msamvu unapanda gari za kuelekea wapi?? na hiyo nauli ya pikipiki ni kutoka msamvu?Shule ipo ifakara waweza kwenda kwa basi ama tren
Ipo nje kdogo ya mji kutoka stend ya mabasi hadi xule n 2000 kwa pikipiki mahala ilipo shule kunapatikana huduma zote muhimu na mazingila n mazur
Ni mwendo wa masaa 7 kutokea dar
wana JF kuna mtu anaeza nisaidia location ya hii shule (ifakara girls sec school) kwa morogoro??? na form zao za join instruction wameshaanza kutoa?? kuna mtu ameomba nimechekie... kama kuna mtu anafaham msaada tafadhali....
jamani msaada hata contacts za mwalimu wa ifakara. mdogo wangu anahitaji joining instruction form. na sisi tupo arusha. naomba msaada kwa yoyote