Msaada jamani JOINING INSTRUCTIONS FORM YA IFAKARA GIRLS HIGH SCHOOL.

wana JF kuna mtu anaeza nisaidia location ya hii shule (ifakara girls sec school) kwa morogoro??? na form zao za join instruction wameshaanza kutoa?? kuna mtu ameomba nimechekie... kama kuna mtu anafaham msaada tafadhali....
 
Shule ipo ifakara waweza kwenda kwa basi ama tren
Ipo nje kdogo ya mji kutoka stend ya mabasi hadi xule n 2000 kwa pikipiki mahala ilipo shule kunapatikana huduma zote muhimu na mazingila n mazur

Ni mwendo wa masaa 7 kutokea dar
 
Je kutoka msamvu unapanda gari za kuelekea wapi?? na hiyo nauli ya pikipiki ni kutoka msamvu?
 
Unapanda gar za ifakara nauli 15000.
hyo niliyokuambia kutoka stem ya ifa kwenda shule
 
wakuu naomba msaada kwa anaeijua na kuifahamu join instruction ya Muyovozi high school naomba anisaidie
 
wana JF kuna mtu anaeza nisaidia location ya hii shule (ifakara girls sec school) kwa morogoro??? na form zao za join instruction wameshaanza kutoa?? kuna mtu ameomba nimechekie... kama kuna mtu anafaham msaada tafadhali....

Shule ipo katkat ya mji wa ifakara, ambao ni makao makuu ya wilaya ya kilombero.
 
jamani msaada hata contacts za mwalimu wa ifakara. mdogo wangu anahitaji joining instruction form. na sisi tupo arusha. naomba msaada kwa yoyote
 
Inamaana na wewe hajapata form? Mi nlijua ni kwetu tu!! Dah..
 
Back
Top Bottom