Msaada jamani katika hili

Msaada jamani katika hili

Kaskizi

Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
34
Reaction score
2
Mi nnatatizo la nguvu za kiume tatzo hili nimedumu nalo kwa muda murefu sasa.

Yaani kwa kifupi huwa napata shida sana pale napokuwa nataka kusex, kila ninapokuwa na mwanamke mashine yangu hucmama kwa shida sana.na hata usimamaji wenyewe unakuwa siyo ule wa kuridhisha.

Wakati mwingine hukataa kabsa kucmama. Kunakipindi huacha kucmama ghafla nikiwa katikati ya sex...nimefanikiwa kuwaona madaktari wawili watatu wote waliniambia ni tatzo la kisaikolojia, walinishauri namna ya kufanya lakini naona bado tatizo linaendelea. Sijafanikiwa kuonana na madaktari bingwa bado.

Ushauri wenu jamani maana linaniumiza sana hili tatzo.

Wasichana wengi wamenikimbia nahisi kabisa huwa siwaridhishi maana wakati mwingine hushindwa kabisa kusex hata nilale na msichana usiku kucha.
 
Duh pole sana mkuu wengine hili wengine lile ila naamini utapata ufumbuz tu hapa jamii forum kuna watu makini sana kikubwa kua na subra tu na uwe karibu na hii mada yako ili utakapoulizwA maswali na wajuzi wa mambo iwe rahisi kwako kuwajibu

Pamoja mkuu utapona tu kwa uwezo wa MUNGU!!!!!!
 
Mi nnatatzo la nguvu za kiume tatzo hili nimedumu nalo kwa muda murefu sasa. Yaan kwa kifupi huwa napata shida sana pale napokuwa nataka kusex, kila ninapokuwa na mwanamke mashine yangu hucmama kwa shida sana..na hata ucmamaji wenyewe unakuwa cyo ule wa kuridhisha. Wakati mwingine hukataa kabsa kucmama. Kunakipindi huacha kucmama ghafla nikiwa katkat ya sex...nimefanikiwa kuwaona madaktari wawili watatu wote waliniambia ni tatzo la kisaikolojia, walinishauri namna ya kufanya lakini naona bado tatzo linaendelea. Cjafanikiwa kuonana na madaktari bingwa bado...ushauri wenu jamani maana linaniumiza sana hili tatzo. Wasichana wengi wamenikimbia nahisi kabsa huwa cwaridhishi maana wakati mwingine hushindwa kabsa kusex hata nilale na msichana usiku kucha.
sasa Mkuu wewe umeandika kiswahili chako cha kichina china lakini nimekuelewa vizuri una upungufu wa nguvu za kiume kwanza kabisa acha mambo ya kupiga Punyeto jambo la pili Dawa ya kurudisha nguvu zako za kiume hebu tembelea bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
 
Duh pole sana mkuu wengine hili wengine lile ila naamini utapata ufumbuz tu hapa jamii forum kuna watu makini sana kikubwa kua na subra tu na uwe karibu na hii mada yako ili utakapoulizwA maswali na wajuzi wa mambo iwe rahisi kwako kuwajibu

Pamoja mkuu utapona tu kwa uwezo wa MUNGU!!!!!!

Nashukuru mkuu.
 
sasa Mkuu wewe umeandika kiswahili chako cha kichina china lakini nimekuelewa vizuri una upungufu wa nguvu za kiume kwanza kabisa acha mambo ya kupiga Punyeto jambo la pili Dawa ya kurudisha nguvu zako za kiume hebu tembelea bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html

Hz dawa mkuu zinatibu kabsa au ni za muda fulani tu... Maana kuna nyingine za namna hyo madokta waliniambia ukifikisha wa miaka 40 ndo inakuwa basi tena..kama vile ELECTRAL.

Hizi side effects/long run effects zake zip..??
 
Pole sana sana mdau i can feel the pains you are going through
 
Daah asee pole mdau. Vipi tatizo limekuanza ukubwani ama tangu udogoni? Maana kuna mawili either nguvu zimepungua ama ndivyo ulivyozalia. tuanzie hapo kwana.
 
Pole sana Mkuu, je umeshaoa? unafanya au ulikuwa ukifanya punyeto miaka ya nyuma? nitajie urefu na uzito wako
 
Mkuu Kaskizi Dawa zangu ni nzuri zinakusaidia ukitumia kwa muda wake maalumu zinarudisha nguvu zako za kiume ni dawa za Mitishamba zilizotengenezwa kwa utaalamu wa kisasa vidonge (Capsule) Hazina madhara kwa binadamu hao Ma-Daktari waliokuambia ukifikisha umri wa miaka 40 hata ukitumia dawa huponi ni dawa za kizungu sio Dawa za mitishamba mkuu tumia kisha utakuja kunipa Feedback.
 
Last edited by a moderator:
Daah asee pole mdau. Vipi tatizo limekuanza ukubwani ama tangu udogoni? Maana kuna mawili either nguvu zimepungua ama ndivyo ulivyozalia. tuanzie hapo kwana.

Tangu nilipoanza kumjua mwanamke nikiwa na umri wa miaka 16.
 
Pole sana Mkuu, je umeshaoa? unafanya au ulikuwa ukifanya punyeto miaka ya nyuma? nitajie urefu na uzito wako

Kuoa cjaoa bado mkuu. Yaah nilivyokuwa sekondari nilikuwa nikipiga punyeto mkuu. urefu wangu una range kati ya cm155-160. Uzito wangu ni kilo 61.
 
Back
Top Bottom