Mi nnatatizo la nguvu za kiume tatzo hili nimedumu nalo kwa muda murefu sasa.
Yaani kwa kifupi huwa napata shida sana pale napokuwa nataka kusex, kila ninapokuwa na mwanamke mashine yangu hucmama kwa shida sana.na hata usimamaji wenyewe unakuwa siyo ule wa kuridhisha.
Wakati mwingine hukataa kabsa kucmama. Kunakipindi huacha kucmama ghafla nikiwa katikati ya sex...nimefanikiwa kuwaona madaktari wawili watatu wote waliniambia ni tatzo la kisaikolojia, walinishauri namna ya kufanya lakini naona bado tatizo linaendelea. Sijafanikiwa kuonana na madaktari bingwa bado.
Ushauri wenu jamani maana linaniumiza sana hili tatzo.
Wasichana wengi wamenikimbia nahisi kabisa huwa siwaridhishi maana wakati mwingine hushindwa kabisa kusex hata nilale na msichana usiku kucha.