Habari wana Jf . Nina mimba ya miezi minne naona siku zangu kama kawaida. Kwa sababu siku zangu nilikuwa naziona ilinichukua miezi mitatu kujua ninayo kwa sababu tumbo lilikuwa linazidi kuwa kubwa. Kuna dozi ya Vidonda vya tumbo nilitumia . Naomba ushauri nifanyeje kujua kama hizo dawa hazijamuaffect mtoto tumboni.