msaada jamani kuhusu mimba

msaada jamani kuhusu mimba

DIKE

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
370
Reaction score
156
Habari wana Jf . Nina mimba ya miezi minne naona siku zangu kama kawaida. Kwa sababu siku zangu nilikuwa naziona ilinichukua miezi mitatu kujua ninayo kwa sababu tumbo lilikuwa linazidi kuwa kubwa. Kuna dozi ya Vidonda vya tumbo nilitumia . Naomba ushauri nifanyeje kujua kama hizo dawa hazijamuaffect mtoto tumboni.
 
wewe DIKE,

Acha mchezo na mimba yako kabisa. Yaani unafanya maigizo wewe. Hebu kimbia hospital mara moja. Hapa tunadeal na vitu vilivyoshindikana. Hope umenipata.

Njama

Back
Top Bottom