MunyetiGB08
Member
- Sep 12, 2014
- 86
- 12
Habarini wanaJF mimi nna mdogo wangu amefanya diploma katka course ya engineering na pia aliapply kupitia NACTE lakini hadi leo hajaona mwelekeo wowote.
Naombeni mwenye taarifa nzuri juu ya hili anisaidie kwa niaba ya mdogo wangu.
Naombeni mwenye taarifa nzuri juu ya hili anisaidie kwa niaba ya mdogo wangu.