Msaada jamani kuhusu NACTE

Msaada jamani kuhusu NACTE

MunyetiGB08

Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
86
Reaction score
12
Habarini wanaJF mimi nna mdogo wangu amefanya diploma katka course ya engineering na pia aliapply kupitia NACTE lakini hadi leo hajaona mwelekeo wowote.

Naombeni mwenye taarifa nzuri juu ya hili anisaidie kwa niaba ya mdogo wangu.
 
Aingie kwenye tovuti yao wameandika tangazo,linasema hivi first selection yao teyari ila wanategemea kuyatoa majina baada ya kukaa kikao cha joint admission tcu na wawakilishi kutoka vyuo vyote tarehe 22th september 2014,hapo ndipo watatoa majina ya TCU NA NACTE,WANAOSEMA WAMECHAGULIWA NI MBWEMBWE TU SELECTION INAENDELEA,KAMA WALIONA BASI NI MAKOSA YA KIUFUNDI TU.SO USIOFU MAMBO BADO HAKUNA ALIYEPATA POST.
 
oke! Asante mkuu
 
QUOTE=Logist;10611419]Aingie kwenye tovuti yao wameandika tangazo,linasema hivi first selection yao teyari ila wanategemea kuyatoa majina baada ya kukaa kikao cha joint admission tcu na wawakilishi kutoka vyuo vyote tarehe 22th september 2014,hapo ndipo watatoa majina ya TCU NA NACTE,WANAOSEMA WAMECHAGULIWA NI MBWEMBWE TU SELECTION INAENDELEA,KAMA WALIONA BASI NI MAKOSA YA KIUFUNDI TU.SO USIOFU MAMBO BADO HAKUNA ALIYEPATA POST.[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom