MunyetiGB08
Member
- Sep 12, 2014
- 86
- 12
Aingie kwenye tovuti yao wameandika tangazo,linasema hivi first selection yao teyari ila wanategemea kuyatoa majina baada ya kukaa kikao cha joint admission tcu na wawakilishi kutoka vyuo vyote tarehe 22th september 2014,hapo ndipo watatoa majina ya TCU NA NACTE,WANAOSEMA WAMECHAGULIWA NI MBWEMBWE TU SELECTION INAENDELEA,KAMA WALIONA BASI NI MAKOSA YA KIUFUNDI TU.SO USIOFU MAMBO BADO HAKUNA ALIYEPATA POST.