Msaada jamani kuhusu Telecommunication

Msaada jamani kuhusu Telecommunication

Unaposema inalipa,una maanisha inaweza kukupa ajira tu au nini?
Maana mimi niliulizwa ni kozi gani yenye kutoa ajira kwa uraisi nitakwambia ualimu,polisi na jeshi.
 
Nenda kasome, na kwakua unaipenda natumai utaijua Tellecom na sio Tellecom ikujue wewe... Ajira zitakuja tu kama utatoka unayajua mambo kisawa sawa... ma million ni ya kufikia
 
umetisha young mia mia
 
Tena ukiingia mwana Jikite sana kujua ma Installation ya 4G na 3G na mauchafu yake mengine yote yanayo husiana na izo makitu maana hapa bongo hakuna watata wa hayo makitu.. pamoja na CDN hii ni marketable sehemu yoyote duniani..........

mia sana arifu
 
Kila ki2 kinalipa ukipata mchongo hata mangwini wanapush ma vogue ck hz.
 
Back
Top Bottom