Te Lavista
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,626
- 2,846
- Thread starter
-
- #281
Wee hebu toka hapa usimshirikishe mungu na mambo ya ajabu.
Eti umeumbwa hivyo lool
Kweli unaniambia wew umekamilika kila idara.Hiko ndio kitu nimenyimwaga yaani sijuagi kuotea
Hivi ulimaanisha nani kati ya hawaNgoja niwaache, sio kwa ukali huo
Imba ana ana doo....Hiko ndio kitu nimenyimwaga yaani sijuagi kuotea
Wee hebu toka hapa usimshirikishe mungu na mambo ya ajabu.
Eti umeumbwa hivyo lool
Kachochezi wew sakayo mrefuImba ana ana doo....
Sio muoga, naheshimu hisia za mtu ujue keshanuna tayari, na unajua uzi ni wakeKumbe muogaae
Nishamjua ila pale utaambulia za uso aiseeKweli unaniambia wew umekamilika kila idara.
Rafiki yako from Stone city
Kwanini bibieNishamjua ila pale utaambulia za uso aisee
Huyo wa pili, huyo wa mwisho si mtaalam wa kapukuHivi ulimaanisha nani kati ya hawa
Raimundo, Rayyoungr, Mondray
HeheheKachochezi wew sakayo mrefu
Ahaaa huyo wa pili simjui mimi nawafahamu hao wawili tuHuyo wa pili, huyo wa mwisho si mtaalam wa kapuku
Nishauri sasa nifanyeje sio kunipa mabango yenuHehehe
Na mie kweli mrefu
Usijali wanaume wanaojua kununa mbele ya mwanamke ni wachache mno. Huyo hana muda mrefu atakuchekea.Sio muoga, naheshimu hisia za mtu ujue keshanuna tayari, na unajua uzi ni wake
Sasa huyo wa pili ana tabia za hiyo id yako na avatarAhaaa huyo wa pili simjui mimi nawafahamu hao wawili tu
Sasa kama mwanaume hujui kujieleza unadhani nini kitafuataKwanini bibie
Kwana tabia zangu zipoje maana huyo kwenye avatar ni mimiSasa huyo wa pili ana tabia za hiyo id yako na avatar
Jamani sasa si anielewe tu halafu mtu mwenyewe mtata huyo.Sasa kama mwanaume hujui kujieleza unadhani nini kitafuata
Mfuate bhanaNishauri sasa nifanyeje sio kunipa mabango yenu
HeheheUsijali wanaume wanaojua kununa mbele ya mwanamke ni wachache mno. Huyo hana muda mrefu atakuchekea.
Usikonde shoga angu nenepa mwaya
HeheheKwana tabia zangu zipoje maana huyo kwenye avatar ni mimi
Ngoja nijitahidi. Nadhani emmyta atanisaidiaMfuate bhana