Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Af nna kes nae mwite ajeAhaaa ngoja nimuite saint ivuga
Hapana mm sie ndio mara ya kwanza kujiunga Jf[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huyu ndugu yang kala ban
Kashindwa kuvumilia akaona
Aje na id mpya
Hehehe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huyu ndugu yang kala ban
Kashindwa kuvumilia akaona
Aje na id mpya
Tunasalimiana tu nashindwa kutoa la moyoniSi unasema huwa unamtext?sasa hujamuambia tena kivipi
Wala usiudhike mwaya nimuonavyo ndio yuko mawindoniKutoka wapi sasaa, ujue unaniudhi
Nakuuliza, unajiona mjanja????Mkuu mimi sio yeye kabisa sema watu wananifananisha nae
Ubaya upo wapi kwenye ID yanguHehehe
Halafu kaja na id mbaya ka nini
Namtaka rafiki yakoWala usiudhike mwaya nimuonavyo ndio yuko mawindoni
Ndo ushangae sasaSi unasema huwa unamtext?sasa hujamuambia tena kivipi
Mimi sio mjanja bibieNakuuliza, unajiona mjanja????
Hahahaaa! Inategemea.Wanaume tunadhalilishwa
Sana kwa kweli
Dogo rud shule ukimaliza
Kitabu utakua umekua
Ndo uje jf
Mm mgeni bwana humu msiniweke kwenye bifu zenuAf nna kes nae mwite aje
Nakula nae sahan moja leo
Nikuambie kitu, hiyo avatar na hilo jina ujue vinaumba mkuu!!! Angalia vizuri, Shauri yakoHapana mm sie ndio mara ya kwanza kujiunga Jf
Mwambie sasaaTunasalimiana tu nashindwa kutoa la moyoni
Akwendeeee!!! Mwanaume mpaka ana account Jf anakuwaje domo zegeWala usiudhike mwaya nimuonavyo ndio yuko mawindoni
We unaiona ni ya rijali kweli hiyoUbaya upo wapi kwenye ID yangu
Basi sawaMimi sio mjanja bibie
Kuumba nini mkuu mbona mafumbo. Hebu nichane nieleweNikuambie kitu, hiyo avatar na hilo jina ujue vinaumba mkuu!!! Angalia vizuri, Shauri yako