Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Kutoka wapi sasaa, ujue unaniudhi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sasa mimi nimemuudhi vipi huyu au ndio bando linataka kukata
 
Wanaume tunadhalilishwa
Sana kwa kweli

Dogo rud shule ukimaliza
Kitabu utakua umekua
Ndo uje jf
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asa ndo nini
 
Acha tabia za kike Man. Dume zima unakuja hapa kuomba msaada eti umempenda mtu humu! Si aibu hii?

Tatizo lako umekuwa na dada zako na ndio waliokuambukiza hizo characters

Badilika man
 
Punguza povu joh
Tia maji kidogo liishe

BTW. Kiki zimeisha leo zimebaki breki tu, kama utapenda njoo kesho kiki zitakuwepo.
WACHA KUTAKA UMAARUFU KUPITIA POST ZA WATU.
NO KICK AVAILABLE
 
Back
Top Bottom